Sky Eclat
JF-Expert Member
- Oct 17, 2012
- 57,761
- 216,011
- Thread starter
- #21
Mkuu nilishanunua ndizi mbivu Kariakoo imefungwa unaambiwa ni clear toneUmenikumbusha story nilizowahi kusikia za Kariakoo Dar. Unaonyeshwa raba mtoni moja kali sana lakini ya mguu mmoja. Ukiamua kununua wanakufungia pembeni na kuhakikisha huoni na kukuonya usifungue kwani ukikamatwa na polisi utanyang’anywa. Ukifika home fungua viatu vyako ili ujinome ndiyo unakutana na bomu la uchafu uliofungiwa.