Safari ya kuishi au maisha unaamua wewe ila kusikindikizwa wanaamua watu

Safari ya kuishi au maisha unaamua wewe ila kusikindikizwa wanaamua watu

Pang Fung Mi

JF-Expert Member
Joined
Nov 10, 2022
Posts
6,653
Reaction score
13,919
Safari muhimu hata kama utaiamua wewe ni vema isikose watu wa kuambatana nawe, hata kama utaiamua hio safari wewe ila watu ndio watakusindikiza na kukufikisha.

Safari katika maisha zipo nyingi na zote wameumbiwa watu. Chagua safari yenye heri itakayo ambatana na wasindikizaji wema.

Heri nyote katika safari zenu.

Inshallah

Wadiz
 
dah kweli mkuu maana weng safar zao zilijaa visasi ,,utapeli ,,ujambaz na uzinz matokeo yke anaondka dunia kwenye mfumo wa kulaumiwa na walimwengu
 
Back
Top Bottom