amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Wakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa nikose.
Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave 700k each month. Na kazini kwetu kuna marupurupu kidogo kwa mwezi hukosi 200k au 300k mbali na mipigo mingine.
Wife nimemfungulia biashara wa wakala wa pesa mitandao ie Mpesa, CRDB etc lengo ni kupunguza ugumu wa maisha huku tukiendelea kujitafuta na biashara inaenda vizuri hatukosi hela ya mboga na mahitaji madogo madogo.
Dhamira mwaka huu ni kukusanya 40ml mbali na savings zangu za awali nilizo zitaja.
Committiments ni kwamba;
-Nafunga kunywa bia from now to Nov mpaka kieleweke
Bata litafunguliwa Nov mwishoni baada ya malengo kukaa sawa😂😂😂
Tukutane DEC mwaka huu kwa mrejesho.

- Kuhusu misosi nitapendelea kula nyumbani na familia.
- Sitoki out kula bata bora nipunguze marafiki coz familia ikinipenda inatosha
- Kuendeleza miradi ya ufugaji hapa nyumbani kwangu ie kuku, bata etc kupunguza makali ya maisha. (Extra time after job hours)