Mr Pixel3a
JF-Expert Member
- Sep 15, 2021
- 5,710
- 8,579
Vina mudaa!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hesabu alizozipiga hajazingatia other factorsHe will be fine.... ni stress tu zinamzingua.
Sasa si bora ufe tu, kuna faida gani kuishi kama hata kula ni tabu?Wakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa nikose.
Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave 700k each month. Na kazini kwetu kuna marupurupu kidogo kwa mwezi hukosi 200k au 300k mbali na mipigo mingine.
Wife nimemfungulia biashara wa wakala wa pesa mitandao ie Mpesa, CRDB etc lengo ni kupunguza ugumu wa maisha huku tukiendelea kujitafuta na biashara inaenda vizuri hatukosi hela ya mboga na mahitaji madogo madogo.
Dhamira mwaka huu ni kukusanya 40ml mbali na savings zangu za awali nilizo zitaja.
Committiments ni kwamba;
-Nafunga kunywa bia from now to Nov mpaka kieleweke
- Kuhusu misosi nitapendelea kula nyumbani na familia.
- Sitoki out kula bata bora nipunguze marafiki coz familia ikinipenda inatosha
- Kuendeleza miradi ya ufugaji hapa nyumbani kwangu ie kuku, bata etc kupunguza makali ya maisha. (Extra time after job hours)
Bata litafunguliwa Nov mwishoni baada ya malengo kukaa sawa😂😂😂
Tukutane DEC mwaka huu kwa mrejesho.
Ni ngumu sana kisevu 700,000/- kwa kipato cha 1.2m
Fanya hivi
-nyumbani matumizi kwa mwezi 300,000/- chukua Laki3 toa ile 1.2m utabaki na laki9, hapo sijaweka Kula kazini (mchana na asubuhi), Nauli za kwenda kazini, Vocha, maji, umeme, gasi/mkaa, kuvaa, kin'gamuzi,
- Milioni40 kuipata labda ujiingize kwenye magendo kwa sababu kipato chako kwa mwaka ni hakizidi 15.6M
Kasema kazini kuna one two one two za kutosha bado posho. Posho zao ni sawa na mishahara mitatu ya LGA
Muda wa kazi kazi, muda wa bata bata mpaka kieleweke. Jiumize uje ujutieBata kidogo kazi sana ,safi sana kiongozi.
Unabalansisha mambo, huku ukitafuta vyanzo vingine vya mapatoSasa utaishi vipi bila kujiweka sawa kiuchumi
Tatizo bongo watu wanalipwa vibaya 😁Muda wa kazi kazi, muda wa bata bata mpaka kieleweke. Jiumize uje ujutie
Unamponza mwenzio mkuuMkuu mbona unaweza kunywa bia na ukasave zaidi ya hapo ? Kwanza bia inafungua akili ya kuchakarika zaidi.
Vina mudaa!
Halafu kweli vileUsijitese sana, maisha ya mwanadamu yana mwanzo na yana mwisho. Kula ni muhimu, kuvaa ni muhimu, matibabu ni muhimu, pia kufurai/kula bata ni muhimu; cha kufanya ni kuimarisha vyanzo vyako vya kifedha viweze kukupatia hizo huduma.
Utajitesa leo, kesho unapinduka na gari; wakulungwa wanatumia hela zako bila huruma.
Muhimu tujue kuna kuishi pia, na tunaishi mara moja tu. Usiwalishe watoto mboga isiyokuwa na mafuta kwa sababu ya kujenga.
Kazini kwake kuna Magendo mengi kasema,Sema huko vZuri kama unaweza kusave aslimia 70% ya take home yako hongera sana🙏heshima yako 🙌
riWakuu,
Mwezi january ndo huo unapamba moto, baada ya mapambano makali ya mwaka jana na bata la desemba, sasa narudi ulimwengu wa vita ni vita Mura. Kifupi liwalo na liwe nikipata nipate, nikikosa nikose.
Kifupi mshahara wangu ni 1000k+ as take home. Kwanzia mwezi huu huwa nina tabia ya kusave 700k each month. Na kazini kwetu kuna marupurupu kidogo kwa mwezi hukosi 200k au 300k mbali na mipigo mingine.
Wife nimemfungulia biashara wa wakala wa pesa mitandao ie Mpesa, CRDB etc lengo ni kupunguza ugumu wa maisha huku tukiendelea kujitafuta na biashara inaenda vizuri hatukosi hela ya mboga na mahitaji madogo madogo.
Dhamira mwaka huu ni kukusanya 40ml mbali na savings zangu za awali nilizo zitaja.
Committiments ni kwamba;
-Nafunga kunywa bia from now to Nov mpaka kieleweke
- Kuhusu misosi nitapendelea kula nyumbani na familia.
- Sitoki out kula bata bora nipunguze marafiki coz familia ikinipenda inatosha
- Kuendeleza miradi ya ufugaji hapa nyumbani kwangu ie kuku, bata etc kupunguza makali ya maisha. (Extra time after job hours)
Bata litafunguliwa Nov mwishoni baada ya malengo kukaa sawa😂😂😂
Tukutane DEC mwaka huu kwa mrejesho.
Wakati hapa watu tushapigia hela ya miez mitano yote matumizi na haijaingia mfukoni ilaa imeshaishaaKazini kwake kuna Magendo mengi kasema,
Marupurupu = upigaji kazini.Kazini kwake kuna Magendo mengi kasema,