Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Halafu kweli vile
jamaa hafanyi kazi OR-TAMISEMI acha kukaza fuvu. Yupo kitengo kwenye taasisi so chill.Hizo one one two one two tatizo huwezi kuzi quantify, na hajazingatia other factors
Kwa hiyo unataka kusema hiyo 40m anaweza kuifikia?jamaa hafanyi kazi OR-TAMISEMI acha kukaza fuvu. Yupo kitengo kwenye taasisi so chill.
Anachokisema ni possible kabisa kama kazini kuna one two one two gusa achia piga pale plus posho jumlisha na faida ya M-pesa kusurvive life kibongobongo bila kutumia mshahara inawezekana 100%
Kama kuna hayo marupurupu mbona sasa amepanga kuishi kwa shida sanaMarupurupu = upigaji kazini.
Kuna jamaa analipwa take home 2.5m, extra duty 850,000/-, incentive 900,000/- huyu ana uwezo wa kusevu 2.5m bila hata ya kutegemea rushwaVitu vya msingi kabisa umesema hapo Tajiri💪
1. Mshahara 1,000k+
2. Unasave more than half ya take home💪
3.Kupiga dili mbili tatu💪😄
4.Marupurupu haya nayo 💪
5. kubwa kuliko ni kupunguza machawa na marafiki wanaoshawishi kutumbua tu,wazee wa vikao💪💪💪💪
📌📌📌Ukihimili kiu CHA MAJI YA DHAHABU UMETOBOA KWENYE HUU UMASKINI WA KUTOPEA😂😂😂.
ALO IN ALO HONGERA!!!
🥶Moyo wangu unachanika vipande hiyo incentive yake kwangu ndo nahangaika nayo Kila siku jobless mimiKuna jamaa analipwa take home 2.5m, extra duty 850,000/-, incentive 900,000/- huyu ana uwezo wa kusevu 2.5m bila hata ya kutegemea rushwa
sureMkuu tupo pamoja hadi huu mwaka uishe. Kujinyima just kwa mwaka mmoja ni kitu gani kwani.
Wasitukatishe tamaa
Kwenye Mungu basi walau siku nusu saa Kila sikuNdio maana kukawepo na mapendekezo katika maisha ya mwanadamu; tumia masaa 7 kulala, masaa 8 kufanya kazi, dakika 1 kuabudu/kusali; hayo masaa 9 yaliyobaki, tumia kwenye maisha ya kijamii.
Mbinguni (kama una amini ipo) hatuendi na maghorofa, fedha, magari, au mali yoyote ile, zaidi tu ni roho yako; na ikumbukwe, hautarudi tena duniani kuyaishi yale maisha uliojinyima.
Huyo jamaa ni wa tamisemi au unachangamsha genge mkuu.Huo mshahara ni wa mkuu wa mkoa au wilaya na makatibu tawala😄😄Kuna jamaa analipwa take home 2.5m, extra duty 850,000/-, incentive 900,000/- huyu ana uwezo wa kusevu 2.5m bila hata ya kutegemea rushwa
akisimamia dili zake anapiga fresh yaani mwaka mzima average kila mwezi apige dili la million 3.Kwa hiyo unataka kusema hiyo 40m anaweza kuifikia?
akisimamia dili zake anapiga fresh yaani mwaka mzima average kila mwezi apige dili la million 3.
Watu wanakula kwa urefu wa kamba mzee, huwezi jua jama yupo KITENGO gani ila kwa maelezo yake hawezi kuwa halmashauri😄😄😄
Sio dharau tamisenga huko pipoz zinashida na njaa sana hawana jeuri hiyo ya kusave 700k.Mbona dharau hizi kwo afsa ardhi, afisa biashara, afsa kilimo hawezi kupiga deal, afisa madini mzee
🥶Mkoani kwetu madereva wa halmshauri, tarura nawakuta baa Kila siku utasema hawa wanashida.Sio dharau tamisenga huko pipoz zinashida na njaa sana hawana jeuri hiyo ya kusave 700k.
Ukikuta wanaojiweza staili ya mleta mada wanaojua hata hisa ni nini na hayo ma UTT. basi ni baadhi ya halmashauri kama za Daslam hivi au Mwanza na Arusha.Ila majority ni poverty encircled🤗
Hamna hela wala dili za kueleweka, ukitaka kujua tu sehemu hamna hela cheki madereva wa hapo mahali😄😄😄Madereva wa halmashauri 99% wanaplani za kukimbia huko.
Watu wengi wanaotamba mjini ni wazee wa one two one two,gusa achia piga pale asikudanganye mtu. Mishahara haitoshi na sio kila sehemu kuna hivyo viposho posho.Kuna jamaa analipwa take home 2.5m, extra duty 850,000/-, incentive 900,000/- huyu ana uwezo wa kusevu 2.5m bila hata ya kutegemea rushwa
Sio dharau tamisenga huko pipoz zinashida na njaa sana hawana jeuri hiyo ya kusave 700k.
Ukikuta wanaojiweza staili ya mleta mada wanaojua hata hisa ni nini na hayo ma UTT. basi ni baadhi ya halmashauri kama za Daslam hivi au Mwanza na Arusha.Ila majority ni poverty encircled🤗
Hamna hela wala dili za kueleweka, ukitaka kujua tu sehemu hamna hela cheki madereva wa hapo mahali😄😄😄Madereva wa halmashauri 99% wanaplani za kukimbia huko.