Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Simple tu. Huu ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao upo chini ya wizara ya fedha. Wanakusanya pesa kwa wawekezaji mbalimbali na kuziwekeza kwenye Bond za serikali, Hisa, fixed accounts ets then unagawia faida kwa uwekezaji huo ie rate zao zinaanzia 10 -14%. Kujiunga nenda Branch yoyote ya CRDB kwa maelezo zaidi au ingia web yao www.utt.go.tz kwa maelezo zaidiUTT KUKOJE MKUU NIMESIKIAA HADI WALEVI JANA WANAKUSIFIAAA PALE MOROGORO ILA WANA MAWEEE EMBU TUPE UBUYU NA KUNAFIKAJEKAJE HUKOO
Hii rate n kwa Mwaka mpwaa ama menas kama n million 100 wananipa 10 tu mwisho WA Mwaka amaSimple tu. Huu ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao upo chini ya wizara ya fedha. Wanakusanya pesa kwa wawekezaji mbalimbali na kuziwekeza kwenye Bond za serikali, Hisa, fixed accounts ets then unagawia faida kwa uwekezaji huo ie rate zao zinaanzia 10 -14%. Kujiunga nenda Branch yoyote ya CRDB kwa maelezo zaidi au ingia web yao www.utt.go.tz kwa maelezo zaidi
Hii rate n kwa Mwaka mpwaa ama menas kama n million 100 wananipa 10 tuSimple tu. Huu ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao upo chini ya wizara ya fedha. Wanakusanya pesa kwa wawekezaji mbalimbali na kuziwekeza kwenye Bond za serikali, Hisa, fixed accounts ets then unagawia faida kwa uwekezaji huo ie rate zao zinaanzia 10 -14%. Kujiunga nenda Branch yoyote ya CRDB kwa maelezo zaidi au ingia web yao www.utt.go.tz kwa maelezo zaidi
Hii web haifunguki sijui hukooSimple tu. Huu ni mfuko wa uwekezaji wa pamoja ambao upo chini ya wizara ya fedha. Wanakusanya pesa kwa wawekezaji mbalimbali na kuziwekeza kwenye Bond za serikali, Hisa, fixed accounts ets then unagawia faida kwa uwekezaji huo ie rate zao zinaanzia 10 -14%. Kujiunga nenda Branch yoyote ya CRDB kwa maelezo zaidi au ingia web yao www.utt.go.tz kwa maelezo zaidi
Ok mkuu thxAndika UTT AMIS utaingia
Mimi nipo hapa
Uko vizuri sana mkuu,Mwezi haukuenda vizuri. Nimesave only 612,000 nimezitia kwenye hisa za CRDB pia
Riba ndogo sana 13% kwa mwaka mzeeNunua bond za Samia infrastructure Bond za Tarura via CRDB
Zimepanda kwa haraka sana sanaNunua hisa za CRDB utakuja kunishukuru