Safari ya kujitafuta 2025 inaanzia hapa! Hisa 129,700 za CRDB, NICOL 3864, UTT 400k safari inaendelea

Una mshauri jinsi ya kufanya matumizi mtu mwenye hisa zaidi ya laki na 20 Crdb? Hapo ukiweka na za NICOL sio chini ya Tzs mil 100 …mpe heshima yake chifu.
 
Amesema anakula nyumbani, au wewe umejiwekea kanuni lazima unywe chai ofisini na kwamba lazima ule mchana? Watanzania tutoke huku kwenye hi ratiba tunaharibu afya zetu.


Halafu hata anayelipwa laki 5 kwa mwezi anauwezo wakutengeneza malengo yakupata 45m kwa mwaka bila kufanya magendo yeyote mkuu. Dunia kubwa sana, na mwaka ni mkubwa sana, 365days 365ways.....
 
You will be fine... you will be fine..!! Jomba usijali mambo yatakaa sawa. Kupitia andiko lako naona stress ya kufa mtu. Wakati mgumu unaopitia nao utapita.
Dah, hii mentality yako mkuu ndo inayokutambulisha wewe kama mtu mwenye stress. Nisamehe kama nimewaza vibaya..
 
Ebu twambie sisi matomaso how can you make 45M kwa mwaka
 
Kama huli mchana ni wewe wenzio wanakula.
Kwa hiyo kula mchana kuna haribu afya?
Laki5 uweze kupata 45m kwa mwaka au una bet
 
Vipi kuhusu mizigo mkuu. Utaendelea nayo, au nayo isubiri Nov
 
Kama huli mchana ni wewe wenzio wanakula.
Kwa hiyo kula mchana kuna haribu afya?
Laki5 uweze kupata 45m kwa mwaka au una bet
Kula hovyo hovyo ni matumizi mabaya ya mdomo na madhara yake kuongeza uzito wa mwli usiohitajika
 
Kama huli mchana ni wewe wenzio wanakula.
Kwa hiyo kula mchana kuna haribu afya?
Laki5 uweze kupata 45m kwa mwaka au una bet
Kikubwa uwe na passion tu ya savings. Mwanzo mgumu ila ukishaanza utaona fursa zingine zinafunguka haijalishi kipato ukipatacho coz nami nilianza hivyohivyo
 
umenisaidia niweze kuomba Gawio langu
 
Safi kijana . Tukipata vijana Milioni 5 hapa nchini waliooa wakiwa na uamuzi kama wako, taifa litapona na wadada watakuwa salama
shida wanawake hawajawahi kukiri kuacha kuongea na shetani au kuacha ushauri wanaopewa na shetani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…