Safari ya Lagos kesho asubuhi mapema kupata ofa. Wahi nafasi.

Safari ya Lagos kesho asubuhi mapema kupata ofa. Wahi nafasi.

Chilli

JF-Expert Member
Joined
Jul 17, 2011
Posts
1,655
Reaction score
746
Baada ya timu ya soka ya Nigeria kushinda kombe la Mataifa ya Africa, kesho tunatarajia kuripoti ndani ya Lagos ili kuwahi ofa ya wale kinadada wanaojibiziness miili hapo jijini.
Kinadada hao wametoa ofa ya buuure kwa wateja wao kwa wiki mbili ikiwa ni sehemu ya kutimiza ahadi zao waliyoitoa mwanzoni mwa mashindano haya. Kama uko interested ni PM nikufanyie booking.
 
Finally, thank u God!😀

dating-after-divorce.jpg


Na Mtoto wako uondoke nae..........
4ffbccfd6.jpg


Na mimi bado nalipa, nitaolewa tuuuuu......
3356072026_e60de8df6f_z.jpg
 
hahah...siendi!!! wewe je??

Kumbe hizi PM zinasababisha watu wanakua waongo. Yaani unaniPM nikufanyie booking halafu unasema huendi. Sasa naahirisha, kama unaenda fanyia booking kwenye hii post.
 
Hahahah...siendi!!!

Kumbe hizi PM zinasababisha watu wanakua waongo. Yaani unaniPM nikufanyie booking halafu unasema huendi. Sasa naahirisha, kama unaenda fanyia booking kwenye hii post.
 
Kutokana na maombi ya wengi waliotuma PM kwamba tusogeze siku mbele kidogo ili wapate gia za kuwaingia wake zao, tumeamua kukogeza siku mbele mpaka kesho kutwa ndio tutaondoka hapa bongo. Ofcoz offa ni ya 2 good weeks. So, karibu tuendelee kujisajili. Ingawa kwa kweli itabidi tufanyie booking kwenye hii post, PM tumesitisha kwa sasa.
NB: Kwa watakaopenda PM tukupe sababu za kumdanganya mkeo.
ZIS IZ ONLI FO MEN, STRCTLY MEN.
 
Nani aende na wewe? Utaenda kutuharibia mingo. Mi mwenyewe laaziz Madame B namtoroka nikajipigie zangu za Kinajeria.

yamekua ya kutorokana tena?nenda nae tu my wife wako na yy akajipatie mchineeekeeee wake huko coz namuaminia
 
Back
Top Bottom