Finally, thank u God!😀
hujambo!!!
Hilo nalo nenoo!
Kumbe hizi PM zinasababisha watu wanakua waongo. Yaani unaniPM nikufanyie booking halafu unasema huendi. Sasa naahirisha, kama unaenda fanyia booking kwenye hii post.
kumbuka kuchukua dawa ya penzi
Dawa ya nini ? Pengine kuaminiana kutakuwepo! Waachie wakakulane "finyango kwa finyango"
Nani aende na wewe? Utaenda kutuharibia mingo. Mi mwenyewe laaziz Madame B namtoroka nikajipigie zangu za Kinajeria.