Safari ya Lagos kesho asubuhi mapema kupata ofa. Wahi nafasi.

yamekua ya kutorokana tena?nenda nae tu my wife wako na yy akajipatie mchineeekeeee wake huko coz namuaminia

Hakyanani blanketi usilojifunika, huezi jua kunguniwe. Hapa nilipo nimechoka choki, bora nikapumzike zangu na wachineke wa huko kwa Boko Haram.
 
Bado nina hasira na wewe kwa kunichukulia mume wangu.
Ntakumeza passion lady.

sasa c ukubali kushindwa tu jamani,talaka ushapewa kitambo,harusi yangu my RUTTASHOBOLWA maandalizi yamepamba moto,na ww nilitaka uwe upande wa zimamoto kabisaa sababu ulivyo mgomvi utaharibu!tutakie kila la kheri bwna acha wivu!
 
Hakyanani blanketi usilojifunika, huezi jua kunguniwe. Hapa nilipo nimechoka choki, bora nikapumzike zangu na wachineke wa huko kwa Boko Haram.

ila uwe makini tu shem wangu wasije wakakuboko haramu na wewe bure,bado tunakuhitaji sana!
 
sasa c ukubali kushindwa tu jamani,talaka ushapewa kitambo,harusi yangu my RUTTASHOBOLWA maandalizi yamepamba moto,na ww nilitaka uwe upande wa zimamoto kabisaa sababu ulivyo mgomvi utaharibu!tutakie kila la kheri bwna acha wivu!

Kubali tu mama Madame B, kwani na mimi siku nikipata mchineke wa kunifaa ntajivua gamba kama loya.
 
Last edited by a moderator:
Kubali tu mama Madame B, kwani na mimi siku nikipata mchineke wa kunifaa ntajivua gamba kama loya.

hahaaaa!we chilli unataka vita nn,na wewe ujivue gamba tena,au chimbuvu anawatunguli nn wenzie ili mumteme bi dada abaki peke yake kama mmiliki?
 
Nyie mnatangulia kuwapokea hao wataokwenda...

watu8 tafadhali bana, sema "nyie mnatangulia kutupokea sisi tutakaokenda". Umekuja kuwaje asee?!
 
Last edited by a moderator:
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…