Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Mungu Kama aishivyo atawabariki Wote wanaojitoa kwa Ajili ya Uponyaji wa Mzalendo Lissu.


Na kwa hakika wote waliohusika kwa namna yoyote kufanya tukio lile direct and indirect Watalaaniwa wao na Vizazi Vyao.
 
Nimetoa machozi kama kuna mtu atakuchallenge atakua hana akili


Mimi pia nimetoa machozi... am sure machozi ya watanzania hayatakwenda bure.............. Mtu kama Lisu anatakiwa alindwe kwa hali zote na sio kumtumia watu wa kumuua.. sasa kipaji chake kiwe bure........ Mungu unaona na unasikia asante Yesu asante Mungu sifa na utukufu kwako. binadamu hata awe na hila zipi wewe uuu na utaendeloea kuwepo.
 
Barafu.mambo c ndo haya bhana angalau umeanza kututoa tongotongo katka hili.kwa sababu huyu kipaza sauti me nilikuwa hata c mwelewi kabisa(mnafiki)
 


Mimi pia kila siku nalaani mtu aliyemteua JOHN POMBE MAGUFULI kuwa mgombea na baadae kupeleka kushinda kwa hila. NAPE NNAUYE ameanza kujuta.. nchi haina mbele wala nyuma tuko kwenye taharuki hatuji kesho ataamka na lipi. Mungu tupe uvumilivu
 
 


Nyamaza ujifunze
 
Mkuu umeandika
Maneno mengi lkn sioni kama yanamaana yoyote
....Narudia tena kwa Situation ya Ugonjwa wa LISU Haikuwa muafaka kutibiwa hapa
Mjini labda kama nawe muhusika wa Mateso ya LISU
 
Unajitutumua sana kujiaminisha unakili kubwa lakini ukweli utabaki palepale.....kuwa dhamira yenu juu ya Lisu inaelekea kufail kama si kuwa imefail kabisa ndiyo maana mmebaki kuleta vimisamiati vya ajabuajabu..Anyway cha msingi tuungane katika maombi ya TL...aweze kupina
 
maneno yako mazito sana na yamejaa huruma za kibinadamu! kusikubali matatizo ya watu kugeuzwa ya kisiasa na watu wenye nia mbaya! Lissu atapona na dhambi za wote waliomtendea zitawafuata na vizazi vyao na mpaka sasa hawana amani na kamwe hawawezi kuwa na amani hata kama wanamwabudu shetani, Hukumu ya Mungu hawataikwepa kamwe, tuendelee kumwombea mwanadamu mwenzetu
 
Chadema mnahangaika bure,mnapoliticise ugonjwa wa Lissu.
Kelele zote ni kwamba bila ya mbunge wa ccm ndege isingepatikana.
Halafu mleta mada una chembe za ubaguzi kwani ni lazima uandike mwenye ndege ni muhindi?
 
Mkuu umeandika
Maneno mengi lkn sioni kama yanamaana yoyote
....Narudia tena kwa Situation ya Ugonjwa wa LISU Haikuwa muafaka kutibiwa hapa
Mjini labda kama nawe muhusika wa Mateso ya LISU
Huna unalojua, nyamaza ueleweshwe, nani anayeamua kwamba ni muafaka au sio muafaka kwa upande wa matibabu zaidi ya madaktari bingwa waliopewa dhamana hiyo?, au kila mtu ajiamuliea atakavyoona ni muafaka au sio muafaka?, je madaktari walipewa nafasi hiyo kuamua hivyo?

Ni kweli kiusalama haikua muafaka kwa mujibu wa Chadema na familia, kwani walizuiwa kufanya wapendavyo?, kosa ni pale wanapotaka kulazimisha bunge kuwasikiliza na kutaka bunge lifanye wanavyotaka wao, hilo haliwezikani na haitofanyika hivyo daima.
 
Shida yenu mnaamini NCHI hii ni MALI ya ccm ndio maana mnapata tabu Poleni sana!....kwa hatua aliyofikia LISU kwa sisi tunaoamini katika MUNGU wa kweli tunajua Tayari ameshapona.....nyie endeleeni na taratibu zenu!
 
Chadema mnahangaika bure,mnapoliticise ugonjwa wa Lissu.
Kelele zote ni kwamba bila ya mbunge wa ccm ndege isingepatikana.
Halafu mleta mada una chembe za ubaguzi kwani ni lazima uandike mwenye ndege ni muhindi?
kabombe wewe humu huwa tunajadiliana kwa staha,nikiisifia serikali ya JPM huwa hunioni kama CHADEMA,leo nimejadili kwa mtazamo wangu,unaona mie CHADEMA...Tujadiliane tu kwa fikra huru
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…