Safari ya Lissu kuelekea Nairobi ilikuwa ni mateso na vilio, Spika Ndugai usitoneshe vidonda

Halafu Ndugai ni very bright toka high school nilishasikia simuliz zake kutoka kwa masela. Naskia darasan zilikuwa zinacharge balaa. Nikati ya wakufunzi wachache tunao bongo. Tatizo sasa tunasoma tupite mitihani siyo kuelimika.

Mbaff!
 
Ndugai ule ugonjwa utakuwa umempanda kichwani sidhani kama hata ataelewa ulicho andika hapa

Ila uzuri Mungu huwa ni fundi tutasikia matokeo ya uongo wa Ndugai soon na adhabu yake pia

Si ajabu mdomo wake ukaanza kupinda, yuko wapi Komandoo Salmin Amor?
 
Mungu yupo
Kama hawaamininwajiulize na wao tuwapige risasi kumi kama alivyopigwa tl kama watafika hata hospitals ya Dodoma

Ndugai amejiona mzima Leo amesahau sutinandala
 

Hao waliofuata hizo taratibu za matibabu walienda na risasi ngapi mwilini? Unasema Ndugai alikuwa anamjibu Lema, je Lema alitoa hizo tuhuma akiwa bungeni? Ni mara ngapi watu huwa wanahoji wakiwa nje bunge lakini mnasema majibu hayawezi kutolewa kwa mtu anayehoji nje ya bunge kwani bungeni ndio sehemu sahihi? Unafiki sio poa ndugu.
 
Si sahihi kumkashifu kiongozi mkubwa kama Ndugai . Barafu uwe na hekima na busara, Tabia kama hizi ndio zimesababisha Lissu akakosa msaada wa pesa.

Hakuna anayetaka matibabu kupitia mshahara wa Ndugai ndugu. Matibabu ni kupitia kodi zetu ambazo sisi tuko tayari na zilimtibia hata Ndugai bila ridhaa yetu.
 
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana.
Sikutegemea kabisa aina yeyote ya makumbano kuhusu hili swala.
Na haswa malumbano yenyewe yasiyo na tija kama haya.
 
Kwa huruma kuu Mwenyezi Mungu azidi kuipigania afya ya Mh TL apone kbs. Msaada wetu mkuu ni kwake yy alieziumba mbingu na nchi.
Sauti ya wengi ni sauti ya Mungu.
 
Ukweli unauma.

Mubadilike
 
Wanasiasa ni watu wa ajabu sana.
Sikutegemea kabisa aina yeyote ya makumbano kuhusu hili swala.
Na haswa malumbano yenyewe yasiyo na tija kama haya.
Sana mkuu yaan inatia huzuni sana. Mjadala kwenye afya ya mtu???? Hatari sana? Kodi ni zetu wote ila sasa inaonekana zinatumika kwa upendeleo sana. Wkt spika mwenyewe yuko india wala hakukuwa na mjadala mkali kiasi hiki. Kina sitta hadi wamekufa huko wala hakukuwa na mjadala mkali kiasi hiki.
 
Hv bunge km linatambua mijadala ya hati za dharula, ina maana hiyo dharula haitambuliki kwenye afya ya mtu?
 
Si sahihi kumkashifu kiongozi mkubwa kama Ndugai . Barafu uwe na hekima na busara, Tabia kama hizi ndio zimesababisha Lissu akakosa msaada wa pesa.
Huo ni msaada au ni haki yake? Sisi wananchi ndio tunaotoa kodi how comes uiite msaada?
 
Nakuheshimu...Wewe ni mmoja wa walionivutia kujiunga humu.
Tenda kama ulivyonena mkuu Mag3
 
Si sahihi kumkashifu kiongozi mkubwa kama Ndugai . Barafu uwe na hekima na busara, Tabia kama hizi ndio zimesababisha Lissu akakosa msaada wa pesa.
Wewe ilikuwa vizuri kwako kudhihaki hali ya afya ya Lissu na kuwaambia viongozi wenzake wana kiburi ndio maana Lissu hapelekwi nje ya Kenya na serikali?Si ulikuja hapa kusema ndege ilimtoa Lissu Dodoma mpaka Dasm then ndio Nrb?

Mkuki kwa nguruwe?Hakuna kashfa,huo ndio ukweli kwa Ndugai wakati akiipigania afya yake
 
ndugai ni spika hovyoo na mwenye akili ndogo haijawahi kutokea katika historia ya Bunge la Tanzania mpaka sasa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…