amshapopo
JF-Expert Member
- Sep 7, 2014
- 1,834
- 4,161
Habari wakuu,
Safari ya mafanikio kwa aliyefanikiwa ni rahisi kuisimulia kuliko uhasilia uliopo field. Watu tumekuwa tukitengeneza maneno mengi ya uongo especially maneno ya vijiweni ili mradi kuiridhisha mioyo yetu na hali tulizo nazo.
Ukitazama kiurahisi kufanikiwa na kutofanikiwa ni kama kumsukuma mlevi lakini jaribu kupambana uone kama ni rahisi kihivyo.
Just imagine;
-Mwisho wa mwezi mmepata mshahara, familia inakutegemea, gharama za maisha zinakutegemea, ndugu etc na still hela hiyohiyo ikusaidie kufikia malengo yako.
-Mwenzio Wana choma nyama inanukia kwelikweli +vinywaji mchanganyiko wewe still unapigania malengo yako ili utoboe
-Wenzio Wana magari ya kutembelea wewe unapanda daladala na bajaji lengo ujibane utoboe.
-Wenzio Wana vaa smart wewe nguo zilezile mpaka zichanike ndo ununue mpya.
-Wenzio kila siku sherehe etc
Unaweza jiona ni ngumu na shida kuyaishi maisha hayo kwa muda ili utoboe lakini kiuhalisia hizo ndo njia za mafanikio. Kama unaona mafanikio ni rahisi endeleza kuisimulia story za walio fanikiwa nawe story yako itasimuliwa kinyume chake
Mwisho, tafuta maisha usisahau kuishi but ishi kwa akili usiige.