Simon Adebisi
JF-Expert Member
- Aug 7, 2018
- 1,224
- 2,337
Lauryn hill kipaji kikubwa mno... too sad alikata moto mapema mno na uteja...
Kuna yule manzi mwingine alikua na rasta hivi jina limentoka ila walitrend kipindi kimoja na lauryn hill nae kapotea ila alikua mkali sana yani