CoSo Marketing
Member
- Jan 6, 2019
- 18
- 15
Habari wana jamii, tunakukaribisha katika ziara ya mafunzo ya fursa zitokanazo na bidhaa za kilimo nchini Kenya February 2019,
Tafadhali fungua kiambatanishoView attachment 988347
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuuu hongera kwa haya maswali, mdau ajibu hayo maswali ili kuondoa mkanganyiko?Mkuu hapa kuba Maswali mengi kuliko Majibu.
Kabl hujaanza kukusanya pesa za watu jibu yafuatayo.
1. Unatembelea wapi hasa majina ya Kampuni au wafugaji unao watembelea na wakulima ni wapi?
2. Ukanda upi?
3. Gharama mbona hujaweka wazi au ni siri?
Gharama huwa zina julikana.
4. Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimoya Nairobi huwa ni mwezi wa 10 sasa hayo ya mwezi wa 2 ni yapi?
Hakuna maonyesho ya Kilimo ya Kimataifamwezi wa pili. Labda utaje jina na yanafanyikia wapi?
Miezi hii huwa ni ya Kilimo kule so hakuba Maonyesho wakati huu.
4. Unazunguzmia wanunuzi wataje majina ni wanunuzi wapi hao ambao waano jifunza wanaenda kukutana nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Mkuu hapa kuba Maswali mengi kuliko Majibu.

Haina shida tuwasiliane kama uko seriousHaya wajasiriamali bahati iliyoje kwenda kujifunza kenya..Sema sasa hapo kwenye laki 6,au inakuwaje mkuu kama natangulia mwenyewe na Tashrif?
Mkuu hapa kuba Maswali mengi kuliko Majibu.
Kabl hujaanza kukusanya pesa za watu jibu yafuatayo.
1. Unatembelea wapi hasa majina ya Kampuni au wafugaji unao watembelea na wakulima ni wapi?
2. Ukanda upi?
3. Gharama mbona hujaweka wazi au ni siri?
Gharama huwa zina julikana.
4. Maonyesho ya Kimataifa ya Kilimoya Nairobi huwa ni mwezi wa 10 sasa hayo ya mwezi wa 2 ni yapi?
Hakuna maonyesho ya Kilimo ya Kimataifamwezi wa pili. Labda utaje jina na yanafanyikia wapi?
Miezi hii huwa ni ya Kilimo kule so hakuba Maonyesho wakati huu.
4. Unazunguzmia wanunuzi wataje majina ni wanunuzi wapi hao ambao waano jifunza wanaenda kukutana nao?
Sent using Jamii Forums mobile app
Maswali ya CHASHA FARMING bado hujajibu,unaruka ruka tu,jibu kwa ufasaha ili kututoa hofu sisi tunaotaka kuja pamoja naweSasa @chasha kwenye tangazo utaweka details zote hizo? Hilo litakua tangazo au makala?
Naomba nikujibu kama ifuatavyo
1.tutatembelea nairobi,nakuru na maeneo ya jirani
2.kampuni ni za kenya ndizo tutakazozitembelea, wakulima/wafugaji wa Kenya medium na large scale, viwanda ni vidogo na kati hasahasa mfano unaweza kuwa na ng'ombe watano na ukawa na kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa kwahiyo tunaenda kujifunza, na ni kwann wenzetu ng'ombe watano tu ni tajiri lakini sisi huku ng'ombe 20 bado unakua na hali ya chini?, tunaenda kufanya b2b/business matching, sisi ni wazoefu sana wa business matching kwahiyo usihofu, kama kweli mtu upo serious katika eneo hili tunakukaribisha.Kwa ambao wako katika vitunguu, ng'ombe,mbuzi, kondoo, nafaka, maziwa, macadamia nuts na nuts ziginezo na mnataka kuuza hii ni fursa kwenu.
3.Gharama zimeandikwa hapo mbona, @600,000 kwa kichwa, gharama hii ni reasonable kabisa, kuna gharama nyingi sana katika kuandaa tour nadhani wazoefu wanaweza kuelewa zaidi.
4.Wanunuzi ni wakubwa wa mazao ya kilimo na mifugo
Ukitaka maelezo zaidi piga simu iliyowekwa hapo juu ktk tangazo
NB; Kabla ya safari tutakuwa na semina ya washiriki itafanyikia dar, mwanza, dodoma,mbeya na arusha, unakaribishwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
Asante tunakushukuru.Karibu sanaMaswali ya CHASHA FARMING bado hujajibu,unaruka ruka tu,jibu kwa ufasaha ili kututoa hofu sisi tunaotaka kuja pamoja nawe
Hawezi yajibu kamweMaswali ya CHASHA FARMING bado hujajibu,unaruka ruka tu,jibu kwa ufasaha ili kututoa hofu sisi tunaotaka kuja pamoja nawe
Mkuu hujajibu maswali pitia post yangu yoteSasa @chasha kwenye tangazo utaweka details zote hizo? Hilo litakua tangazo au makala?
Naomba nikujibu kama ifuatavyo
1.tutatembelea nairobi,nakuru na maeneo ya jirani
2.kampuni ni za kenya ndizo tutakazozitembelea, wakulima/wafugaji wa Kenya medium na large scale, viwanda ni vidogo na kati hasahasa mfano unaweza kuwa na ng'ombe watano na ukawa na kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa kwahiyo tunaenda kujifunza, na ni kwann wenzetu ng'ombe watano tu ni tajiri lakini sisi huku ng'ombe 20 bado unakua na hali ya chini?, tunaenda kufanya b2b/business matching, sisi ni wazoefu sana wa business matching kwahiyo usihofu, kama kweli mtu upo serious katika eneo hili tunakukaribisha.Kwa ambao wako katika vitunguu, ng'ombe,mbuzi, kondoo, nafaka, maziwa, macadamia nuts na nuts ziginezo na mnataka kuuza hii ni fursa kwenu.
3.Gharama zimeandikwa hapo mbona, @600,000 kwa kichwa, gharama hii ni reasonable kabisa, kuna gharama nyingi sana katika kuandaa tour nadhani wazoefu wanaweza kuelewa zaidi.
4.Wanunuzi ni wakubwa wa mazao ya kilimo na mifugo
Ukitaka maelezo zaidi piga simu iliyowekwa hapo juu ktk tangazo
NB; Kabla ya safari tutakuwa na semina ya washiriki itafanyikia dar, mwanza, dodoma,mbeya na arusha, unakaribishwa sana.
Sent using Jamii Forums mobile app
wanataka kupiga watu hawa.washajua udhaifu wa wabongo
Asante tunashukuruwanataka kupiga watu hawa.washajua udhaifu wa wabongo
Maswali ya CHASHA FARMING bado hujajibu,unaruka ruka tu,jibu kwa ufasaha ili kututoa hofu sisi tunaotaka kuja pamoja nawe
mna ligi za kitoto kama sio watu wazima
wengine walipie wewe upewe bure...Mkienda mtujuze mliyoyaona pia
maana ya kuanzisha uzi ni nini? mtu akitaka ufafanuzi hapahapa apewe sio kila mtu yuko interested kupiga simu,wengine wanavutika na maelezo tu ya kina,hujui maana ya marketing?mna ligi za kitoto kama sio watu wazima
Hilo ni tangazo sio rasimu, kama mpo interested kwenda na kuna mambo mengine ya zaidi mnataka kujua si mmepewa contact? Ni hekima ya kawaida tu.