Sasa @chasha kwenye tangazo utaweka details zote hizo? Hilo litakua tangazo au makala?
Naomba nikujibu kama ifuatavyo
1.tutatembelea nairobi,nakuru na maeneo ya jirani
2.kampuni ni za kenya ndizo tutakazozitembelea, wakulima/wafugaji wa Kenya medium na large scale, viwanda ni vidogo na kati hasahasa mfano unaweza kuwa na ng'ombe watano na ukawa na kiwanda kidogo cha kuchakata maziwa kwahiyo tunaenda kujifunza, na ni kwann wenzetu ng'ombe watano tu ni tajiri lakini sisi huku ng'ombe 20 bado unakua na hali ya chini?, tunaenda kufanya b2b/business matching, sisi ni wazoefu sana wa business matching kwahiyo usihofu, kama kweli mtu upo serious katika eneo hili tunakukaribisha.Kwa ambao wako katika vitunguu, ng'ombe,mbuzi, kondoo, nafaka, maziwa, macadamia nuts na nuts ziginezo na mnataka kuuza hii ni fursa kwenu.
3.Gharama zimeandikwa hapo mbona, @600,000 kwa kichwa, gharama hii ni reasonable kabisa, kuna gharama nyingi sana katika kuandaa tour nadhani wazoefu wanaweza kuelewa zaidi.
4.Wanunuzi ni wakubwa wa mazao ya kilimo na mifugo
Ukitaka maelezo zaidi piga simu iliyowekwa hapo juu ktk tangazo
NB; Kabla ya safari tutakuwa na semina ya washiriki itafanyikia dar, mwanza, dodoma,mbeya na arusha, unakaribishwa sana.
Sent using
Jamii Forums mobile app