Youth champion
Member
- Feb 12, 2020
- 72
- 87
Manhattan , time squareUtafikia new york ipi? Maana kuna kijijini na mjini,ili nijue wapi nianzie kukupa mwongozo!!
Upo jimbo la Kawe .....Hongera gwajimaNdugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.
So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii
hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
ndio nasubiria MkuuNgoja waje kukupa muongozo mkuu.
Kama ni Manhattan pako poa utulivu upo,ila maeneo kama Queens,Brooklyn....dah aisee huko wenyewe wanajiona kama Dunia ndo wameiumba wao. Point ya msingi follow rules & regulations za eneo husika coz kwa Marekani kila state ina sheria zake.Manhattan , time square
nisaidie kwa hilo broh
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wameiumba wao !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kama ni Manhattan pako poa utulivu upo,ila maeneo kama Queens,Brooklyn....dah aisee huko wenyewe wanajiona kama Dunia ndo wameiumba wao. Point ya msingi follow rules & regulations za eneo husika coz kwa Marekani kila state ina sheria zake.
Safari njema mkuu. Ukibahatika kukutana na Jigga man mwambie kwenye lile dude lake na Mr Hudson aliua sana[emoji16]
Visa umepata teari? Utakutana na USCBP watakuuliza maswali kibao. Ukibabaika, wanakuweka kwenye ndege wanakurudisha bongo hata USA haukanyagi.Ndugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.
So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii
hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
bado sijaombaVisa umepata teari?
Visa yenyewe ni issue sana. Fanya research nzuri ya maswali watakayokuuliza US Embassy. Na kama ni tour tu ya 1 week, ni kwa nini uende USA na sio Dubai au Europe? Na kama ni visitation letter ya ndugu ndio unayoombea viza hapo chance ni mbaya sababu teari una mtu USA manake unaweza kuzamia kumtumia yeye na hapo watu wananyimwa visitor visas kwa asilimi kubwa sana.bado sijaomba
bcoz nakamilisha issue ya money na ratiba ratiba zang ,
nategemea by mwisho wa mwezi huu ndio nifatilie visa .
Tour ya wiki 1 New York na hata Cape Town haujafika? Hayo maswali jiandae kuulizwa Embassy.Ndugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.
So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii
hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Sio mualiko just tour tu ,Visa yenyewe ni issue sana. Fanya research nzuri ya maswali watakayokuuliza US Embassy. Na kama ni tour tu ya 1 week, ni kwa nini uende USA na sio Dubai au Europe? Na kama ni visitation letter ya ndugu ndio unayoombea viza hapo chance ni mbaya sababu teari una mtu USA manake unaweza kuzamia kumtumia yeye na hapo watu wananyimwa visitor visas kwa asilimi kubwa sana.
[emoji23] hilo usiwaze kabisaUmepigwa chanjo??
Jaribu kucheck pia restrictions za Covid za NYC, maana kuna miji ukifika unatakiwa ufanye mandatory isolation ya 10+ days, sasa wewe tour ya wiki usijepata umeishia karantini tu [emoji41]
Pia watakagua begi lako vizuri kweli kweli. Na ww pia airports za Europe au middle east kabla ya kuingia kwa ndege ya US, watakucheki mwili mzima kwa Xray.Ndugu zangu wana JF,
Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.
So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii
hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Watu wengi wanatumia visitor visa kama njia ya kuzamia USA. Embassy kazi yao ni kuchuja kuhakiki kwamba mtu anayeenda, anaenda kweli kwa tourism purposes. Sasa kama hata Africa yenyewe haujafanya tour za kutosha.. umeenda kenya tu. hata south africa haujafika, wala dubai, wala Europe ni kwa nini USA? Hizo nchi zote ziko karibu na Tanzania zaidi ya USA. Mtu mwenye hela na anayesafiri kutembea tu, anaanza nchi za karibu kabla ya kwenda za mbaliSio mualiko just tour tu ,
sina sababu ya msingi ya kuchagua NYC
just tu ,
lakini kwann ? unahisi kuna shida gan hasa ? compare na Europe ?