Safari ya Marekani

Safari ya Marekani

Joined
Feb 12, 2020
Posts
72
Reaction score
87
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .
images%20(18).jpg
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Upo jimbo la Kawe .....Hongera gwajima
 
Manhattan , time square

nisaidie kwa hilo broh
Kama ni Manhattan pako poa utulivu upo,ila maeneo kama Queens,Brooklyn....dah aisee huko wenyewe wanajiona kama Dunia ndo wameiumba wao. Point ya msingi follow rules & regulations za eneo husika coz kwa Marekani kila state ina sheria zake.

Safari njema mkuu. Ukibahatika kukutana na Jigga man mwambie kwenye lile dude lake na Mr Hudson aliua sana[emoji16]
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] kama wameiumba wao !!! [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Visa umepata teari? Utakutana na USCBP watakuuliza maswali kibao. Ukibabaika, wanakuweka kwenye ndege wanakurudisha bongo hata USA haukanyagi.

USCBP officers=United States Customs and Border Protection officers. Kupata visa sio guarantee ya kuingia USA. Kama ni tour, ujue unaenda wapi na wapi. Uwe na ratiba. Na cha muhimu zaidi uwe na proof ya cash ya kutosha. Hotel bookings, rental car, etc. Wanajua wabongo mnazamia. Kwa hio ndio wanataka kujua kama ww ni mzamiaji au tourist wa ukweli. Inatokeaga sana mtu anashindwa kujibu maswali wanamuweka next plane anarudishwa Tz.
 
bado sijaomba
bcoz nakamilisha issue ya money na ratiba ratiba zang ,
nategemea by mwisho wa mwezi huu ndio nifatilie visa .
Visa yenyewe ni issue sana. Fanya research nzuri ya maswali watakayokuuliza US Embassy. Na kama ni tour tu ya 1 week, ni kwa nini uende USA na sio Dubai au Europe? Na kama ni visitation letter ya ndugu ndio unayoombea viza hapo chance ni mbaya sababu teari una mtu USA manake unaweza kuzamia kumtumia yeye na hapo watu wananyimwa visitor visas kwa asilimi kubwa sana.
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Tour ya wiki 1 New York na hata Cape Town haujafika? Hayo maswali jiandae kuulizwa Embassy.
 
Visa yenyewe ni issue sana. Fanya research nzuri ya maswali watakayokuuliza US Embassy. Na kama ni tour tu ya 1 week, ni kwa nini uende USA na sio Dubai au Europe? Na kama ni visitation letter ya ndugu ndio unayoombea viza hapo chance ni mbaya sababu teari una mtu USA manake unaweza kuzamia kumtumia yeye na hapo watu wananyimwa visitor visas kwa asilimi kubwa sana.
Sio mualiko just tour tu ,
sina sababu ya msingi ya kuchagua NYC
just tu ,
lakini kwann ? unahisi kuna shida gan hasa ? compare na Europe ?
 
Umepigwa chanjo??

Jaribu kucheck pia restrictions za Covid za NYC, maana kuna miji ukifika unatakiwa ufanye mandatory isolation ya 10+ days, sasa wewe tour ya wiki usijepata umeishia karantini tu [emoji41]
[emoji23] hilo usiwaze kabisa
nitachoma covax hapa hapa bongo
 
Ndugu zangu wana JF,

Nina plan kuwa na safari ya kwenda Marekani ( New York ) by November mwaka huu ni safari ya kawaida tu just tour kwa wiki moja, lakini ndio itakuwa safari yangu ya kwanza kutoka nje ya Tanzania ukitoa Kenya.

So nawaombeni ambae ameshawahi kufika anipe elimu kidogo juu ya mambo ambayo niwe makini nayo katika safari hii

hasa ninapotua tu Airport .View attachment 1931672
Pia watakagua begi lako vizuri kweli kweli. Na ww pia airports za Europe au middle east kabla ya kuingia kwa ndege ya US, watakucheki mwili mzima kwa Xray.
 
Sio mualiko just tour tu ,
sina sababu ya msingi ya kuchagua NYC
just tu ,
lakini kwann ? unahisi kuna shida gan hasa ? compare na Europe ?
Watu wengi wanatumia visitor visa kama njia ya kuzamia USA. Embassy kazi yao ni kuchuja kuhakiki kwamba mtu anayeenda, anaenda kweli kwa tourism purposes. Sasa kama hata Africa yenyewe haujafanya tour za kutosha.. umeenda kenya tu. hata south africa haujafika, wala dubai, wala Europe ni kwa nini USA? Hizo nchi zote ziko karibu na Tanzania zaidi ya USA. Mtu mwenye hela na anayesafiri kutembea tu, anaanza nchi za karibu kabla ya kwenda za mbali
 
Back
Top Bottom