Safari ya miaka 9 tangu kuacha kazi. Hamasa kwa vijana wenye maono makubwa

Hongera sana Emma, umejitahidi sana by the way process ya kupata mafanikio kila mmoja ana njia yake ambayo Mola amempangia. Zaidi ya yote kaza buti na tengeneza mfumo utakaokuasidia kukupunguzia usimamizi wa moj kwa moja.
 
Nilipo choka ni baada ya kusoma baada ya kuacha ualimu serikalini akafungua twisheni🤣🤣🤣 HIYO NDIO INAITWA TABU ZA KUJITAKIA ila hongera kwa kutoboa japo umeumiza watu..
 
Watu mna maelezo mengi kingese alafu point hamna, kwanini msifupishe tu?????

Hivi hamkusoma mada ya UFUPISHO kwenye kiswahili?????
 
Kuwa milionea au bilionea ni kuwazidi ujanja watu wengine na kuweza kujikusanyia mipesa kutoka kwa wajinga kuja kwako kwa njia yoyote ile

Sina ndoto ya kuwa bilionea ila najua ukwasi utakuja wenyewe tu
Kuwa bilionea inawezekana lakin kibongo bongo lazima uweze kutengeneza kitu(huduma) au bidhaa ambayo itaweza kuwafikia watu wasiopungua milioni 10 kwa Tanzania yenye watu zaidi mil 62....
Na hicho ndo anachokifanya Mo na Bakhresa
 
Ushauri mzuri sana.
 
Kuwa bilionea inawezekana lakin kibongo bongo lazima uweze kutengeneza kitu(huduma) au bidhaa ambayo itaweza kuwafikia watu wasiopungua milioni 10 kwa Tanzania yenye watu zaidi mil 62....
Na hicho ndo anachokifanya Mo na Bakhresa
Mtoa mada anahitajika kuwa na wanafunzi wangapi wa Qt kuwa bilionea
 
Kuna vitu kabla ya kufanya lazima ufikirie vzr,ttz vijana wanajifanya wanajua sn maisha nakupenda sifa, nakutoshaurika hili ni janga kubwa sana mwisho wakifika kwenye uhalisia ndio akili inawakaa sawa.
1: mtaji wa kutosha huna
2: hujawahi hata uza duka au genge iliupate uzoefu kiasi,kakae hata kwenye biashara za wenzio see how they run
3: mkumbo ndio janga kubwa sn kwa watu juma anapika maandazi namm napika hayo hayo.
 
Daah! Ndugu umeongea kwa hisia kali iliyojaa hekima sana. Hili andiko lako nimelipokea haijalishi imenichoma kwa kiasi gani.

Hakika nitakufanyia kazi kwa bidii zote. Maneno yako yana ukweli kwa 70% na mpaka hapa nimepona sana. Asante sana JF kisima cha maarifa.

By the nilimaanisha 2026 sio 2016. Ni typing error tu
 
Binafsi naamini kwamba uthubutu na ujasiri ndio jambo la muhimu na la kwanza katika kufanya jambo lolote..

huitaji taa zote ziwe kijani ndo uanze safari.. anza na resources ulizonazo kutafuta izo nyingine zinazohitajika.. kwasababu kuna vitu hutavijua bila kuanza.
 
Mbinu zako za upambanaji ni dhaifu Sana kukufikisha unakoenda.
Mkuu huenda ni kweli but ni mbinu hizo zimenifanikisha kupata kile nilichokuwa nakihitaji. Kama umeelewa andiko langu ni kwamba hatua ya kwanza imekamilika naanza hatua ya pili.

Nashukuru kwa maoni yako mazuri.
 
Nilipo choka ni baada ya kusoma baada ya kuacha ualimu serikalini akafungua twisheni🤣🤣🤣 HIYO NDIO INAITWA TABU ZA KUJITAKIA ila hongera kwa kutoboa japo umeumiza watu..
Haha hhaa hhaa mkuu....sikutaka kuwa mtumwa....nilitaka/nataka kubadilisha elimu yangu kuwa biashara........hiyo tuition kwa sasa inanipa kipato ambacho kinalingana na kile ambacho ningepewa serikalini. Vipi huoni kwamba miaka miwili ijayo itanipa mara 5 ya kile ambacho ningepewa serikalini?
 
Ndio mkuu nimehangaika kweli lakini mwisho nimepata njia niliyokuwa naitafuta baada ya mahangaiko ya miaka 9. Hapo vipi?


Mkuu Kiswahili na literature watu wanalipia na kusoma vizuri tu. Ndio maana nikaona niwashirikishe Safari yangu. Kama ulikuwa hujui basi chukua hiyo point mkuu. Tena kwa wanachuo wanalipia 40 kwa mwezi na huku chini wanalipia 25 hadi 30 hahaha. Usimkataze mdogo wako kusoma Kiswahili na literature asee. Hahaha haha sio wote wanasoma physics mkuu
Utupe gawio tambua bila sisi jf usingefika hapo ulipo

Mtoa mada anahitajika kuwa na wanafunzi wangapi wa Qt kuwa bilionea

Jf kuna madini sana ila watu wengi hawalijui hili, ukija jf na matatizo ukipitia nyuzi kimya kimya usipokuwa sawa ni wewe.
Ni sahihi kabisa mkuu. Mimi JF imeniponya kabisa na kunipa ufunguo wa maisha
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…