Mwanamke anaedhani kakuonea huruma kuwa na wewe, anakwambia wazi kuna wanaume wenye pesa kukuzidi kila siku wanamtafuta, huyu tayari ana options siku yoyote anakukimbia.
Mwanamke ambae hajui BAJETI, yeye ni kujua kutumia tu, jiandae kwa mizinga mingi ya uongo, mama anaumwa, simu imeharibika, mchango wa msiba, n.k.
Mwanamke anayeshindwa kuishi maisha ya kawaida, safari ya uwindaji ikiwa kwenye kula nyama atakuwepo ila kwenye njaa hawezi, hapa kuna chances kubwa za kuchapiwa akienda kutafuta nyama kwengine.
Mwanamke asiyeamini katika ndoto zako, utasikia anakwambia acha biashara kuna rafiki yake anatafuta mtu wa mshahara wa laki 2
Mwanamke anayependa maisha ya starehe, haya mambo yana uraibu, akikosa ndio mwanzo wa kuanza kulamba viatu vya wengine ale bata.
Mwanamke aanaependa kulinganisha mafanikio ya wengine, ulikuwa unagombania siti ya mwendo kasi umepambana una IST anakwambia mwanaume flani ana crpwn
Mwanamke mlokole anaeshinda zaidi kanisani na kumuheshimu mchungaji kukuzidi wewe, hata kwenye maisha yenu ya ndoa humsikiliza zaidi mchungaji, kaa mbali.
Mwanamke mwenye marafiki wengi mashosti wasioeleweka, Kuna msemo unasema "Nionyeshe marafiki nijue tabia zako"