Ungekuwa mjanja unashuka hata gairo next day unaenda Moro then Dsm bado nauli haifikii ya ndege,buda usife kinyonge,pambania hali yako then uwe progressive.Umasiki mbaya aisee,
Natoka Mwanza naenda Dar hapa ni saa 5 kasoro ndiyo natoka Shinyanga nimeanza safari saa 1 jioni na hapa nimechoka sana na tunafika Dar kesho saa 7 mchana aisee sijui nitakuwa na hali gani
Mungu nijalie wakati wa kurudi nipande Air Tanzania