Safari ya Mwanza - Dar Kwa bus ni adhabu

Ungekuwa mjanja unashuka hata gairo next day unaenda Moro then Dsm bado nauli haifikii ya ndege,buda usife kinyonge,pambania hali yako then uwe progressive.
 
Kweli kabisa. Tangu waondoe fastjet kwa sisi walalahoi, mambo yamekuwa magumu sana. Dar- Mwanza parefu sana.
Bora usafiri hadi Dom upumzike then Uanze tena upya safari baada ya siku moja au 2. Moja kwa moja inatesa sana
Pongezi Kwa John baba wa Wanyonge 😂😂😂😂
 
Mbezi mbagala
 
Hakuwa na pesa ila majigambo mengi na vile alipenda sifa uongo ulikuwa mwingi sana.

Wale mnaosubiria Sgr to Mwanza ni 2030,ila kipande Cha isaka-Mwanza.ndio kitaanza leta say 2026/27.
 
Halafu mabasi ya huko yana kelele za miziki usiku kucha kama bar
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…