Safari ya Mwisho ya Mwanahabari Nguli wa Siasa, Marin Hassan Marine, Alianzisha Jambo TZ na Ameacha Alama ya TBC Aridhio

Kwenye maelezo yako yote sijaona popote akitajwa Dr Shein, yeye hajahusika na msiba au hakuwahi kufanya kazi na marehemu
Sent using Jamii Forums mobile app
 
Ndege yake?kainunua lin? Pascal Mayalla,
Ndege ya rais ni ndege inayomhudumia rais, sio lazima ainunue yeye.
jina la ndege hiyo inaitwa ndege ya rais.
Viongozi wengine wa serikali wenye ndege ni
CDF- Ndege ya Jeshi na
IGP- Chopper
Ziko taasisi zenye ndege zake zikiwemo
Tanapa
NCA
TPRI
Nimri
AAR
P
 
Write your reply...CCM haisikitishi sana pale inapopungukiwa na mmoja ingawa tunajua fedha za kununua wengine mnazo na pia wengi tumejiweka kama bidhaa tafadhalini jmn njooni mtununue
rip Marin Mungu atakuweka ulipopahitaji.
 
Raisi wa Tanzania hana ndege binafsi ile ya kwake alishaitoa Kwa shirika.
Ndege binafsi ya rais ni Gulf Stream, na ipo hajaigawa popote!. Ndege alizotoa kwa ATC ni ndege za serikali zilizoko chini ya TGFA ndio zimepakwa rangi za ATC na kutumika kibiashara.
P
 
Ndege ya Rais sio ndege ya magufuli
Yes ni ndege ya rais
Magufuli ndiye rais
Ni ndege ya Magufuli ambayo jina lake inaitwa ndege ya rais, hata siku gezeti ukiwa rais itakuwa ndege yako!.
P
 
S
so sad,pumzika kwa amani mheshimiwa Marin Hassan Marine.Tanzania imepoteza mtu muhimu sana katika tasnia ya habari
 
Paskali watu hawajaweza kukuelewa..unaporudia Pole Pole hajakutafta ,hawajui kwamba unamanisha hujafuatwa na shekeli na huyu jamaa mana baada ya kushika mpini wa kueneza siasa kambini ndipo mbinu ya shekeli kuingiza watu imeshamiri...slave trade have been initiated indirectly!!!Dunia hadaa a!!

Sent using Jamii Forums mobile app
 
Yes ni ndege ya rais
Magufuli ndiye rais
Ni ndege ya Magufuli ambayo jina lake inaitwa ndege ya rais, hata siku gezeti ukiwa rais itakuwa ndege yako!.
P
ndege ya raisi ilishatolewa kwa shirika husika na yeye mwenyewe inakuwaje ya kwake tena mkuu.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…