Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Dah...bosi ..mwisho ungemalizia..."tena post zenyewe zisizo na akili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mna mashamba ya kulima maparachichi au ndo mnategemea kuja kuiba Tanzania
Tena bado, tutanunua parachichi zote zenu na tupandishe bei mara dufu kabla kuwauzia wachina, kwasasa hivi ndo mapato yalivyo duniani, tuliwapiku South Africa 2017 na sasa sisi ndo tunaongoza Africa,.

 
Naona umevurugwa vya kutosha maana hoja ujibiwa na hoja sasa wewe unamwaga matusi kibao yatasaidia kitu gani?
Kwanini unilazimishe nipende nisicho kipenda?elewa kamwe huwezi kumlazimisha ngamia kunywa maji kamwe
 
Dah...bosi ..mwisho ungemalizia..."tena post zenyewe zisizo na akili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona tunazidi kuwashika pabaya kwa hoja mmebakia mnaporomosha matusi
 
Kamwe hamuwezi kushindana na CAG mwacheni achape kazi na kufichua maovu myatendayo
Hapa nyumbani bavicha wapo busy kumshangilia siii ei jii; kukebehi utabiri wa mamlaka ya hali ya hewa na kusubiri kauli za mboye na nyepesi na kuzishangilia.
 
Wakisema 40% ya maparachichi ya Kenya inaweza kuwa ni maparachichi mawili tu[emoji28][emoji28][emoji28]
Wivu itakuua ndugu….Ndo maana mtabaki kuwa nyuma juu ya chuki!
 
Naona tunazidi kuwashika pabaya kwa hoja mmebakia mnaporomosha matusi
Dah...Kama hii nayo ni hoja...basi kuna haja ya kufuta hili neno kwenye kamusi yetu....kwani litakuwa halina maana[emoji41]
 
Uzeni kwa wavimba macho ya kwetu tunapeleka Scandinavia countries with premium
 
Kama mmeshindwa kutafsiri neno... DHAIFU...mtaweza kutafsiri hoja?
Dah...Kama hii nayo ni hoja...basi kuna haja ya kufuta hili neno kwenye kamusi yetu....kwani litakuwa halina maana[emoji41]
 
Na Maparachichi ya Njombe hukohuko aina ya HASS wananunua wakenya kwa kilo wanaenda kwao wanayanembo yanapakiwa kwa ndege yanaenda china. Sisi badala tuuze korosho nje tunafanya mambo kishamba shamba.
 

Mimi sijakuelewa na hiyo taarifa yako ya sentensi tatu. Kwa hiyo Kenya ikisaini kuuza maparachichi China ndiyo imetupiga bao?
Tumia vizuri akili yako bro.
1. Je kusaini mkataba wa kuuza maparachichi China kutatuzuiaje sisi kuuza maparachichi china? Mfano kahawa, chai karafuu, korosho zinaweza kuuzwa kwa mnunuzi mmoja. Mfano Korosho ya Msumbiji na ya Tanzania zinaweza zote kuuzwa kwa nchi moja mfano Ufaransa.
2. Je ukubwa wa soko la China unaweza kutoshelezwa na bidhaa ya kenya tu? Kumbuka idadi ya wachina ni 1+bio.
3. Je hakuna masoko mengine zaidi ya China?
4. Je mpaka sasa hakuna soko ambalo bidhaa zetu za kilimo cha mboga mboga na matunda zinauzwa?
5. Soko letu la ndani la maparachichi limetoshelezwa?
6. Uzalishaji wa maparachichi ya kuuza nje umepanuka kwa kiwango cha kupata mazao ya kuuza nje?
7. Wewe kama mTanzania umefanya nini kuwasaidia wakulima wa Maparachichi?
 
Korosho mmeziuza nchi gani?
 
Sasa hivi zipo zinaoza tu ukiwauliza wanakwambia eti tukipata hasara wacha tupate hasara
Na Maparachichi ya Njombe hukohuko aina ya HASS wananunua wakenya kwa kilo wanaenda kwao wanayanembo yanapakiwa kwa ndege yanaenda china. Sisi badala tuuze korosho nje tunafanya mambo kishamba shamba.
 
Wakwetu ameenda kutuombea soko la kuuza dagaa Malawi ,tujiandae kupeleka dagaaa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…