Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Kwani hayo maparachichi yetu ya mbeya umekwenda huko na kujiridhisha kuwa tuna uwezo kuwalisha wachina kwa kiwango tosha?

Je una uhakika na kiwango chake vha ubora?

Hivi wewe una mahali katika ilani ya ccm unapoweza kutusomea kwamba serikali ya tanzania inashindana na kenya kwa maendeleo?

Msiwe mmeishiwa hoja na sasa kazi yenu ni kukopy na ku paste taarifa mbalimbali fukyn nyie!

Jana ulikuwa na sugu leo umeamka na kenyatta.
Si upeleke hiyo punye huko!

Kila nchi ina mipango yake ya maendeleo kutokana na fursa zinazojitokeza.

Sio kila mtu humu JF akiamka hata bila kupiga mswaki unakimbilia ku post ili mradi tu umpendaye au aliekuwa akikuwezesha yuko katemwa basi woote mloumia mnakaa kuchonganisha wananchi.

Narudia hii ni blood fukny politics mnafanya nyie wachumia tumbo.

#Tutasimama na JPM 2020 - 2025 [emoji1241][emoji818][emoji943]
Dah...bosi ..mwisho ungemalizia..."tena post zenyewe zisizo na akili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Mna mashamba ya kulima maparachichi au ndo mnategemea kuja kuiba Tanzania
Tena bado, tutanunua parachichi zote zenu na tupandishe bei mara dufu kabla kuwauzia wachina, kwasasa hivi ndo mapato yalivyo duniani, tuliwapiku South Africa 2017 na sasa sisi ndo tunaongoza Africa,.

1081669
 
Naona umevurugwa vya kutosha maana hoja ujibiwa na hoja sasa wewe unamwaga matusi kibao yatasaidia kitu gani?
Kwanini unilazimishe nipende nisicho kipenda?elewa kamwe huwezi kumlazimisha ngamia kunywa maji kamwe
Kwani hayo maparachichi yetu ya mbeya umekwenda huko na kujiridhisha kuwa tuna uwezo kuwalisha wachina kwa kiwango tosha?

Je una uhakika na kiwango chake vha ubora?

Hivi wewe una mahali katika ilani ya ccm unapoweza kutusomea kwamba serikali ya tanzania inashindana na kenya kwa maendeleo?

Msiwe mmeishiwa hoja na sasa kazi yenu ni kukopy na ku paste taarifa mbalimbali fukyn nyie!

Jana ulikuwa na sugu leo umeamka na kenyatta.
Si upeleke hiyo punye huko!

Kila nchi ina mipango yake ya maendeleo kutokana na fursa zinazojitokeza.

Sio kila mtu humu JF akiamka hata bila kupiga mswaki unakimbilia ku post ili mradi tu umpendaye au aliekuwa akikuwezesha yuko katemwa basi woote mloumia mnakaa kuchonganisha wananchi.

Narudia hii ni blood fukny politics mnafanya nyie wachumia tumbo.

#Tutasimama na JPM 2020 - 2025 [emoji1241][emoji818][emoji943]
 
Dah...bosi ..mwisho ungemalizia..."tena post zenyewe zisizo na akili" [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Naona tunazidi kuwashika pabaya kwa hoja mmebakia mnaporomosha matusi
 
Kamwe hamuwezi kushindana na CAG mwacheni achape kazi na kufichua maovu myatendayo
Hapa nyumbani bavicha wapo busy kumshangilia siii ei jii; kukebehi utabiri wa mamlaka ya hali ya hewa na kusubiri kauli za mboye na nyepesi na kuzishangilia.
 
Naona tunazidi kuwashika pabaya kwa hoja mmebakia mnaporomosha matusi
Dah...Kama hii nayo ni hoja...basi kuna haja ya kufuta hili neno kwenye kamusi yetu....kwani litakuwa halina maana[emoji41]
 
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.

Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US

https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
Uzeni kwa wavimba macho ya kwetu tunapeleka Scandinavia countries with premium
 
Kama mmeshindwa kutafsiri neno... DHAIFU...mtaweza kutafsiri hoja?
Dah...Kama hii nayo ni hoja...basi kuna haja ya kufuta hili neno kwenye kamusi yetu....kwani litakuwa halina maana[emoji41]
 
Na Maparachichi ya Njombe hukohuko aina ya HASS wananunua wakenya kwa kilo wanaenda kwao wanayanembo yanapakiwa kwa ndege yanaenda china. Sisi badala tuuze korosho nje tunafanya mambo kishamba shamba.
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.

Mimi sijakuelewa na hiyo taarifa yako ya sentensi tatu. Kwa hiyo Kenya ikisaini kuuza maparachichi China ndiyo imetupiga bao?
Tumia vizuri akili yako bro.
1. Je kusaini mkataba wa kuuza maparachichi China kutatuzuiaje sisi kuuza maparachichi china? Mfano kahawa, chai karafuu, korosho zinaweza kuuzwa kwa mnunuzi mmoja. Mfano Korosho ya Msumbiji na ya Tanzania zinaweza zote kuuzwa kwa nchi moja mfano Ufaransa.
2. Je ukubwa wa soko la China unaweza kutoshelezwa na bidhaa ya kenya tu? Kumbuka idadi ya wachina ni 1+bio.
3. Je hakuna masoko mengine zaidi ya China?
4. Je mpaka sasa hakuna soko ambalo bidhaa zetu za kilimo cha mboga mboga na matunda zinauzwa?
5. Soko letu la ndani la maparachichi limetoshelezwa?
6. Uzalishaji wa maparachichi ya kuuza nje umepanuka kwa kiwango cha kupata mazao ya kuuza nje?
7. Wewe kama mTanzania umefanya nini kuwasaidia wakulima wa Maparachichi?
 
Korosho mmeziuza nchi gani?

Sasa hivi zipo zinaoza tu ukiwauliza wanakwambia eti tukipata hasara wacha tupate hasara
Na Maparachichi ya Njombe hukohuko aina ya HASS wananunua wakenya kwa kilo wanaenda kwao wanayanembo yanapakiwa kwa ndege yanaenda china. Sisi badala tuuze korosho nje tunafanya mambo kishamba shamba.
 
Wakwetu ameenda kutuombea soko la kuuza dagaa Malawi ,tujiandae kupeleka dagaaa.
 
Back
Top Bottom