eliakeem
JF-Expert Member
- May 29, 2009
- 17,214
- 15,853
China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.
Ahaaa haaa haaa
Hongereni sana wazee wa MAPARACHICHI deal.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.
Hongera sana wakenya sisi tupo bussy kununua opposition leaders wajoin kwa rulling partyChina itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.
Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US
https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
ujinga wenu umepita kiasi sasa...Ahaaa haaa haaa
Hongereni sana wazee wa MAPARACHICHI deal.
After getting the SGR to nowhere?ujinga wenu umepita kiasi sasa...
😁😁😁 Baada ya kunyimwa loan ndio akili ya parachichi ikaingia? Siku zote hamkuona power of parachichi?China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.
GDP sasa hvi inapumulia mirija ya mikojo😂😂😂😂😂👇👇👇👇
Hasira kali😂😂😂👇👇👇
I will not try to engage haters in an intellectual argument.😁😁😁 Baada ya kunyimwa loan ndio akili ya parachichi ikaingia? Siku zote hamkuona power of parachichi?
Failed and broke state of kenya, you can't go anywhere, the whole GDP pays debts + looters takehomesI will not try to engage haters in an intellectual argument.
If we had gotten the loan you would all be shouting here how KE has been sold, now that Uhuru did not get the loan you are rubbishing anything that he got. Kenya with or without the loan will always be ahead of Bongolalas. Why don't you use the effort to hold your govt to account.
ha ha failed while we have a 40Billion USD gap between TZ and KE ??? yet you have more natural resources and a higher population??? you should not be even heard talking. Hata aibu huwa hamna jameni? Bongolala ndiyo jina linalowafaa.Failed and broke state of kenya, you can't go anywhere, the whole GDP pays debts + looters takehomes
Tunaitafuta Kigali na mwanza vipi wenzetu Nasikia mmeibadili kuwa deal la parachichieliakeem hii reli yetu unaona itafika morogoro lini kama hata kibaha haijatoka?
Duh [emoji23] [emoji23] Jirani bwana umeenda kupiga mzinga wa chapaa ya kujengea reli unaambiwa haipo ila uende uanze mishe za avocado utatoboa tu[emoji86] [emoji23]China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.
Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US
https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
Hii deal ya avocado balozi Mbelwa Kairuki kashaileta bongo tayari😁😁😁😁 Wamenyimwa mkopo wa SGR wamepewa deal fake la parachichi
Hiyo deal ishaletwa bongo na balozo MbelwaRais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Mkuu kwa taarifa yako Tanzania inauza parachichi(avocado) nyingi sana kwenda Ulaya.Safi sana
Mkuye kwetu myanunue huku kwetu yanaozea shambani
Ujirani mwema
3 containers unaongea? in 2017 we exported 51,507 tons of avocadoMkuu kwa taarifa yako Tanzania inauza parachichi(avocado) nyingi sana kwenda Ulaya.
Juzi tu kuna mzigo wa 40feet containers kama 3 hivi za avocado toka Mbeya zimeenda Germany kwa meli.
Watanzania wengi hatujui yanayo endelea nchini kwetu.
Sasa atatafutaje masoko bila kiwanda, hivi nyumbu mbona nyinyi mbumbumbu kiasi hikiWa kwetu anafanya ziara eti ya kuzindua kiwanda mbeya cha maparachichi.
Badala ya kutafuta masoko yeye anazindua kiwanda cha maparachichi huko tukuyu.