Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.

Ahaaa haaa haaa
Hongereni sana wazee wa MAPARACHICHI deal.
 
Wakulima wa Kenya watafaidika sana kwa dili hii na kuipanua gap huku wakiongeza GDP kufika zaidi ya $110b by 2020 ama vipi eliakeem
 
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.

Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US

https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
Hongera sana wakenya sisi tupo bussy kununua opposition leaders wajoin kwa rulling party
 
China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.
😁😁😁 Baada ya kunyimwa loan ndio akili ya parachichi ikaingia? Siku zote hamkuona power of parachichi?
 
GDP sasa hvi inapumulia mirija ya mikojo😂😂😂😂😂👇👇👇👇

Hasira kali😂😂😂👇👇👇

😁😁😁 Kuna mkenya mmoja kwenye hiyo tweets kanichekesha sana, eti anashauri serikali yao wa downgrade kipande cha rail yao kilichobaki iwe kama Tanzania ambayo ni cheapest than theirs ili wakamilishe mpaka kisumu

Yaani mpaka leo kuna wakenya hawajui kama hiyo takataka yao haiwezi kukaa nafasi moja na bullet railway ya Tanzania, hiyo konono wakii downgrade kama anavyosema itaenda mwendo wa 0.0008kph sababu ni tayari ipo undergrade.
 
😁😁😁 Baada ya kunyimwa loan ndio akili ya parachichi ikaingia? Siku zote hamkuona power of parachichi?
I will not try to engage haters in an intellectual argument.
If we had gotten the loan you would all be shouting here how KE has been sold, now that Uhuru did not get the loan you are rubbishing anything that he got. Kenya with or without the loan will always be ahead of Bongolalas. Why don't you use the effort to hold your govt to account.
 
Failed and broke state of kenya, you can't go anywhere, the whole GDP pays debts + looters takehomes
 
ha ha failed while we have a 40Billion USD gap between TZ and KE ??? yet you have more natural resources and a higher population??? you should not be even heard talking. Hata aibu huwa hamna jameni? Bongolala ndiyo jina linalowafaa.
 
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.

Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US

https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html
Duh [emoji23] [emoji23] Jirani bwana umeenda kupiga mzinga wa chapaa ya kujengea reli unaambiwa haipo ila uende uanze mishe za avocado utatoboa tu[emoji86] [emoji23]
 
Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.

Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Hiyo deal ishaletwa bongo na balozo Mbelwa
 
Safi sana
Mkuye kwetu myanunue huku kwetu yanaozea shambani
Ujirani mwema
Mkuu kwa taarifa yako Tanzania inauza parachichi(avocado) nyingi sana kwenda Ulaya.

Juzi tu kuna mzigo wa 40feet containers kama 3 hivi za avocado toka Mbeya zimeenda Germany kwa meli.

Watanzania wengi hatujui yanayo endelea nchini kwetu.
 
3 containers unaongea? in 2017 we exported 51,507 tons of avocado
 
Wa kwetu anafanya ziara eti ya kuzindua kiwanda mbeya cha maparachichi.
Badala ya kutafuta masoko yeye anazindua kiwanda cha maparachichi huko tukuyu.
Sasa atatafutaje masoko bila kiwanda, hivi nyumbu mbona nyinyi mbumbumbu kiasi hiki
 
Back
Top Bottom