Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

But you can't afford to pay for your SGR despite of your fake GDP, only $3.6B forces you to end your SGR to Naivasha.

Ninyi ni watu wa SIFA za kijinga wakati uchumi wenu unazidi kuporomoka, ninauhakika hiyo pesa Magufuli anaweza kuwakopesha mkiacha ujinga wenu.
Hahahahaha.
 
Sema wewe hujui siyo unawasemea watanzania
Mkuu kwa taarifa yako Tanzania inauza parachichi(avocado) nyingi sana kwenda Ulaya.

Juzi tu kuna mzigo wa 40feet containers kama 3 hivi za avocado toka Mbeya zimeenda Germany kwa meli.

Watanzania wengi hatujui yanayo endelea nchini kwetu.
 
Nyumbu wamejazana hifadhi ya lumumba chini ya uhifadhi ulio tukuka wa chakubanga
Sasa atatafutaje masoko bila kiwanda, hivi nyumbu mbona nyinyi mbumbumbu kiasi hiki
 
Fake GDP ?? we know who has been cooking numbers in this region.
 
Pumbaf sana wewe maguful anafedha gani za kuwakopesha wakenya?korosho zinaoza tu maghalani kwa misifa isiyo na faida kwa umma
 
Uchumi wa Tanzania umeporomoka hadi kufikia ukuaji wa 4% as per IMF report
 
Kenya wametuzidi kwa mbali sana kiuchumi na maendeleo
Duh [emoji23] [emoji23] Jirani bwana umeenda kupiga mzinga wa chapaa ya kujengea reli unaambiwa haipo ila uende uanze mishe za avocado utatoboa tu[emoji86] [emoji23]
 
Wewe karumekenge kweli kuna mradi mnaujenga kwa fedha zenu nyinyi?labda kujenga majungu tu
Hata ukifika 0%, so long as miradi mikubwa tunafanya kwa pesa zetu, wewe sherehekea habari za kukua uchumi wakati mnanyimwa mikopo kutokana na kushindwa kulipa, hamuwezi hata kujenga kilometa moja kwa pesa zenu.
 
If that is not fake, why can't you finish those last two sections of your SGR?. How is it possible you fail to get just that small amount of money?.
Borrowing enables you to get something today and pay later, meaning we don't have to sacrifice other important needs like education, health etc..which we need funds for immediately.

For example the education budget for 2018/2019 financial year was 4B USD, we could as well set aside funds in the budget for the railway but that would mean we drastically cut funds for other issues or postpone.
So borrowing becomes a better idea, kills 2 birds with one stone.
 
So, why then you are forced to end your SGR to Naivasha while your goals and plans were to take it to nearby countries simply because China refused to give you money as per your initial agreements?, big shame.
 
Zote ni mikopo tu wacha kudanganywa wewe
Mmeshindwa kulipa korosho za sh 700billion za wakulima ndiyo muweze kughalamia hiyo miradi ya barabara?
Mnadanganywa kama watoto wa kindergarten?
Hiyo reli inayojengwa, na hiyo high way from Dar to Kibaha pesa anatoa shangazi yako?
 
ha ha failed while we have a 40Billion USD gap between TZ and KE ??? yet you have more natural resources and a higher population??? you should not be even heard talking. Hata aibu huwa hamna jameni? Bongolala ndiyo jina linalowafaa.

😁😁😁 Debts debts debts everywhere soon mtakopa pesa ya kulipa mishahara sababu the whole money is going to service debts, hamuwezi kupata pesa ya even cheaper development projects sababu revenues are for Chinese
 
Zote ni mikopo tu wacha kudanganywa wewe
Mmeshindwa kulipa korosho za sh 700billion za wakulima ndiyo muweze kughalamia hiyo miradi ya barabara?
Mnadanganywa kama watoto wa kindergarten?
Kenya wamekopa China kujenga reli yao, Tanzania imekopa nchi gani, au imekopa toka kwa shangazi yako?, lete link inayoonyesha Tanzania ilikokopa.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…