Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Wakenya walikua na kale kandoto kakuifanya hio fake SGR kua electric sijui kameishia wapi😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇

Ahaaa haaa haaa
HASIRA mbele busara nyuma zilimfanya mr mende kupinduka miguu juu KABLA ya kufa.
 
3 containers unaongea? in 2017 we exported 51,507 tons of avocado
Hiyo ni mfano na ni majuzi tu, sasa fikiria kwa mwaka mzima wanasafirisha containers ngapi kama hizo toka Mbeya, Kilimanjaro na Arusha?
 
Hii itachukua muda sana, haswa kwa uvivu wao.
Umeona hii taarifa

Tafadhali I post Kwa thead yake kama utaweza niko busy kidogo. Tz has been ranked as the country with the third most stressed people in the whole world!!!!!
Kila siku hua tunawa enjoy hawa majirani zetu kua wakiendelea kutuchukia mwishowe watalazwa muhimbili kwasababu ya stress manake kila siku Kenya hua inaamka tena inapoanguka.... Kumbe huu muda wote tumekua tukichukulia hii chuki yao personal, inaezekana hawa jamaa hata hawana chuki na sisi, stress ndo imewajaa na sisi Kenya ndo closest scapegoat ... Badala ya kwenda therapy au kufanya yoga na tizi zenginezo ili kutoa stress jamaa hua wanatutumia kama 'punching bag' yao kama coping mechanism!!!!!
 
Nyie mnaweza fitina na majungu tu
Mfano wewe ulikuwa haujui kwamba tayari TZ wanauza avocado nyingi sana kwenda Ulaya.

Pia niliemnukuu alikuwa hajui ndio maana kasema parachichi zinaozea shamba hakuna soko la nje.

Hizo Kenya ni kelele tu za PR.
 
Inasikitisha SANA kumpoteza SGR,

Mchina Ametoa, MChina Ametwaa.
Jina la Xi Ping lidumu.
 
Ahaaa haaa haaa
WaTanzania hawa kama 10+ hapa JF tu ndo tuko na mashambulizi dhidi ya Kenya. Ukienda nyumbani Tanzania waTanzania walio nje ya JF, they don't bother about Kenya.
 
Ahaaa haaa haaa
WaTanzania hawa kama 10+ hapa JF tu ndo tuko na mashambulizi dhidi ya Kenya. Ukienda nyumbani Tanzania waTanzania walio nje ya JF, they don't bother about Kenya.
That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!
 
That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!

Ahaaa haaa haaa
Bro wananchi wengi wala hawana habari na Kenya. Ni hapa JF tu ndo twaongelea Kenya. Maana tuko wachache SANA. HATA wewe unatujua tena kwa majina ya humu.
 
That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!
Na kweli mnachekesha si kidogo, yaani mna vituko nyinyi watu, sijapata kuona.

Mtu anaendea 400bln kshs, anarudia 40bln kshs,sasa si angekujia hapa tz tukampea hiyo[emoji849][emoji849]
 
kwani nini serikali yetu iko makini sana kufuatilia taarifa za kuikosoa lakini haiko makini sana kufuatilia taarifa za kibiashara.
 
Hivi ni eneo gani kenya wanalima maparachichi kwa wingi??????????????
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…