Mmawia
JF-Expert Member
- Aug 20, 2013
- 122,494
- 96,074
Lazima muambiwe ukweli nyinyi waramba visigino wa chakubanga
Hivi wee umetokea wapi? Go where you belong.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hivi wee umetokea wapi? Go where you belong.
umenikumbusha maeneo ya kwedizinga hadi leo sijui wamejenga lile eneo eti kiwanda cha kuchakata muhogo anhaa anhaaaaHapa bongo wachina walisaini mkataba wa kununua mihogo mpk leo ni bila bila.
wewe ni wale wale wa kushoto 😁😁Wewe karumekenge kweli kuna mradi mnaujenga kwa fedha zenu nyinyi?labda kujenga majungu tu
Lazima muambiwe ukweli nyinyi waramba visigino wa chakubanga
Wakenya walikua na kale kandoto kakuifanya hio fake SGR kua electric sijui kameishia wapi😂😂😂😂😂👇👇👇👇👇
😆😆😆😆😆Ahaaa haaa haaa
HASIRA mbele busara nyuma zilimfanya mr mende kupinduka miguu juu KABLA ya kufa.
Hiyo ni mfano na ni majuzi tu, sasa fikiria kwa mwaka mzima wanasafirisha containers ngapi kama hizo toka Mbeya, Kilimanjaro na Arusha?3 containers unaongea? in 2017 we exported 51,507 tons of avocado
Mfano wewe ulikuwa haujui kwamba tayari TZ wanauza avocado nyingi sana kwenda Ulaya.Sema wewe hujui siyo unawasemea watanzania
Umeona hii taarifaHii itachukua muda sana, haswa kwa uvivu wao.
www.forbes.com
Mfano wewe ulikuwa haujui kwamba tayari TZ wanauza avocado nyingi sana kwenda Ulaya.
Pia niliemnukuu alikuwa hajui ndio maana kasema parachichi zinaozea shamba hakuna soko la nje.
Hizo Kenya ni kelele tu za PR.
Mfano wewe ulikuwa haujui kwamba tayari TZ wanauza avocado nyingi sana kwenda Ulaya.
Pia niliemnukuu alikuwa hajui ndio maana kasema parachichi zinaozea shamba hakuna soko la nje.
Hizo Kenya ni kelele tu za PR.
Umeona hii taarifa
![]()
Report: U.S. Among The Ten Most Stressed Nations Worldwide [Infographic]
As part of its 2019 Global Emotions Report, Gallup gauged stress levels across 143 countries.www.forbes.com
Tafadhali I post Kwa thead yake kama utaweza niko busy kidogo. Tz has been ranked as the country with the third most stressed people in the whole world!!!!!
Kila siku hua tunawa enjoy hawa majirani zetu kua wakiendelea kutuchukia mwishowe watalazwa muhimbili kwasababu ya stress manake kila siku Kenya hua inaamka tena inapoanguka.... Kumbe huu muda wote tumekua tukichukulia hii chuki yao personal, inaezekana hawa jamaa hata hawana chuki na sisi, stress ndo imewajaa na sisi Kenya ndo closest scapegoat ... Badala ya kwenda therapy au kufanya yoga na tizi zenginezo ili kutoa stress jamaa hua wanatutumia kama 'punching bag' yao kama coping mechanism!!!!!
That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!Ahaaa haaa haaa
WaTanzania hawa kama 10+ hapa JF tu ndo tuko na mashambulizi dhidi ya Kenya. Ukienda nyumbani Tanzania waTanzania walio nje ya JF, they don't bother about Kenya.
That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!
Na kweli mnachekesha si kidogo, yaani mna vituko nyinyi watu, sijapata kuona.That's why nimesema hatufai kuchukuliwa uhasama wenu hapa jf personally... Wengi wenu mko na stress na mkiona wakenya mnatutumia kutoa stress... Yani kutukumbuka mkenya ni theraputic!
Nan anatafuta dili la kuunda magariKwahyo umeona maparachichi tu, dili za maparachichi wakati watu wanatafuta dili za kutengeneza madawa na kuunda magari!!!!!
China itakua inanunua 40% ya maparachichi ya Kenya, majirani wenye akili watumie fursa hii kusafirisha ya kwao kwa mgongo wa Kenya kama ilivyo kwa vitu vingine vyote maana wao kujitafutia soko ni shida, leteni vya kwenu tunaandika vimetoka Kenya kisha tunaongeza cha kwetu juu na moja kwa moja vinapata soko.
Ndio uzuri wa kuwa mjanja na kwenye kutumia ubongo dunia hii, hauwezi ukabarikiwa na kila kitu, kule nje hakutaki ze ze ze yaani lazima ujue jinsi ya kujieleza na kucheza hizi karata.
Wachina ni zaidi ya bilioni moja, aisei soko lote hilo yaani hongera sana rais Uhuru, mbele kwa mbele ikumbukwe kwa maua tu uchumi wetu umeongoza ukanda wote huu na leo unakua kwa 6.3% sasa hapa kwa maparachchi na bado wapo mezani...
------------------------------
The avocado export deal signed, makes China one of the largest importers of the fruit
It is estimated that when the agreement is fully implemented, the Chinese market will absorb over 40 per cent of Kenya’s avocado produce, making it one of the largest importers of the fruit. Other famous destinations of Kenyan avocado include Europe and the US
https://www.nation.co.ke/video/news/4146788-5087884-leudqz/index.html