Tanzania pia ina makubaliano kama hayo na ndio ilikua ya kwanza.wakenya wanazalisha maparachichi meng lakin ubora wake uko chini kuringanisha na parachichi is Rungwe ambao moja kati ya maparachichi bora.mzarishaji mkubwa kwa sasa ni wilaya ya Rungwe kwa Tanzania.
Apparently that is not the strength of people from your side of the border. so anything that can be asserted without evidence can be disproved without evidence. Also, i would think that people will always try to fact check things, but I think I overestimated the capacity for reason from our southern neighbours, honestly Ugandans reason in a far much more sophisticated manner and with a lot of nuance than our neighbours to the south, probably it is due to our shared history of strong educational values. They will fact check things and critique. I have put out the premise of my argument it is, you to produce counter arguments that disprove my arguments, if they are credible i am not unable toAhaaa haaa haaa
Look, whenever you engage facts and figures in your discussions, it's advised to show where keen readers could go to do the content analysis.
Very good question, they say the indication of an insane person is doing the same thing and expecting different results.Kwanini zinalimwa kama yanaozea tu mashambami... kwani ni mara ya kwanza kuozea mashambani??? Miaka nenda rudi, kama yanaozea mashambani, narudia tena, kwanini zinalimwa????????
maparachichi yenyewe wafanyabiashara wa kenya wanayachukua njombe, hebu wajaribu kutuletea tena kisirani tuwazuie tuone kama huko china watasafirisha mawe?
Tatzo watanzania uwa muda mwengine hatufuatilii masuala ya biashara ndani ya nchi...Tanzania tuna export maparachichi mnooo mpaka kupelekea kupanda bei kutokana na kuadimika kwake yamebaki tu yale ya wakulima wadogo kupeleka masokoni kwa ajili ya juice ila toka mwaka 2015 hakuna mkulima mkubwa aliyelalamika amekosa soko la maparachichi...asa hivi maparachichi ni kama dhahabu hao wakenya wamejazana kilimanjaro kununua maparachichi kwa bei ya jumla
Kwa uhalisia, Kenya wamejipanga siku nyingi sana kwenye sekta ya mbogamboga, maua na matunda... Ukiangalia vyanzo mbalimbali vya taarifa kwa foreign earning projections, mwaka jana wenzetu maingizo ya Horticulture yalikuwa kati ya USD 104 ndani ya miezi 8. Taarifa ya mwisho wa mwaka waligonga USD 153 bil.Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Ndio maana amekuambia kabisa,amekuambia mengi pale kwamba 1. Huwezi kubarikiwa kila kitu,akimaanisha uwe na mashamba (Tz) ubarikiwe na akili ya kutafuta soko kama (Kny). 2. Amekuambia kule kutafuta soko hakuna ze,ze,ze. Akimaanisha hizo siasa zenu za kutafutana wenyewe kwa wenyewe badala ya kutafuta masoko kama hayo. 3. Amekuambia wenyewe wametafuta soko wewe mwenye mashamba lakini usie na akili ya kutafuta soko,endelea kuwa mkulima,lakini soko lako litakuwa kenya,then wao kenya watanunua kwako kwa bei ya (200 kilo,wao watapekeka kwenye soko lao china kwa 1000,usilalamike,si huna akili ya kutafuta soko unalima tu,mfano tu huo).Mna mashamba ya kulima maparachichi au ndo mnategemea kuja kuiba Tanzania
Acha apige bao,ikiwa kutwa kucha mnajadili personalities za watu badala ya ideas ?.Rais Uhuru wa Kenya leo amesaini makubaliano ya kuiuzia China mapalachichi yote yanayo zalishwa nchini humo na kuwa nchi ya kwanza barani Afrika kupata bahati hiyo.
Wakati sisi maparachichi yetu ya Njombe tunaambiwa yatapata kuuzwa baada ya kupata ndege ya mizigo.
Acha apige bao,ikiwa kutwa kucha mnajadili personalities za watu badala ya ideas ?.
Mtu akijamba mnakaa nalo mwezi,fursa zinaanza na wewe,sotoka yako naona imekomaa
Fursa zipi ambazo hujaziona ? Mumeshapewa soko kupeleka mihogo china, umefuatilia ? Mnaambia comoro wana uhitaji mkubwa wa bidhaa mf nyama, nafaka nk, zambia, wanahitaji vyakula, sudan nk ni fursa ipi ww unahitaji au ni kulalamika, poor you !!Kweli kabisa mkuu.
Tunashindwa kuziona fursa tunabaki kupambania vyama vyetu vya siasa au kuleta kila kitu kwenye kapu la siasa.
Kwa uhalisia, Kenya wamejipanga siku nyingi sana kwenye sekta ya mbogamboga, maua na matunda... Ukiangalia vyanzo mbalimbali vya taarifa kwa foreign earning projections, mwaka jana wenzetu maingizo ya Horticulture yalikuwa kati ya USD 104 ndani ya miezi 8. Taarifa ya mwisho wa mwaka waligonga USD 153 bil.
Kwetu hapa, taarifa toka TAHA (Tanzania Horticultural Association) iliyotolewa na Jacquelene Nkindi, Tanzania tulikuwa tunategemea kuvuna USD 1.3 bil ndani ya miaka 3 - 5;
Where do we fail; hatuna wazalishaji wengi
Part ya kinachazalishwa kinakuwa exported kupitia Kenya kwa kuwa kwa muda mrefu hatukuwa na ndege za kusafirisha mizigo.
Kwa kuwa hatukuwa tumejiandaa kwa pamoja kimkakati, airports zetu hazikuwa na cold-rooms kwa ajili ya storage ya horticultural products including parachichi
We have a long way to go kama tutadhania mambo yatatokea by default settings. Ila kama tutakuwa na mkakati wa pamoja kutoka wizara ya Kilimo/Uwekezaji/Uchukuzi na Fedha kuwa na agri-financing kwa ajili ya kupanua uwekezaji kwenye kilimo, tuna nafasi ya kupiga bao mbele ya safari.
It needs deliberate effort to arrive there and investment strategy to speed up the production which will increase the volume of what is needed in the market.
Tanzania ni yetu sote, tukiamua kwa pamoja tunaweza kuneemeka na foreign earnings including parachichi
Hii ndiyo lugha ya mtanzania halisi, tena halisi sana, yuko tayari kumuua mkulima eti anamkomoa mfanya biashara kutoka kenya, mentality hii hatutoki ngoomaparachichi yenyewe wafanyabiashara wa kenya wanayachukua njombe, hebu wajaribu kutuletea tena kisirani tuwazuie tuone kama huko china watasafirisha mawe?
Wao wamekimbilia wanasema ukikutwa na mfuko fine.....wao wanafikiria kuchuma tuWawezacho kwa bidii ni marufuku na makatazo we tazama kila siku ni habari ngumu ngumu za kubana watu,si habari za kutia matumaini. Mfano sie marufuku kutumia mifuko ya plastic, wenzetu wao wanatumia taka za plastic kama malighafi ya kuzalisha bidhaa zingine.
Waambie mbw. Hawa kitu wanchoweza ni kununua wapinzani full stopSiamini sana hizi move, tangu mwaka juzi Serikali imesaini mkataba na china kununua mihogo, lakinj hadi leo hii ni kazi ngum sana kuuza mihogo kupeleka China. Hata taarifa tu za hayo makampuni yanayonunua ni shida kuyapata. Mwaka jana nilikua nina hekari 25 za mihogo, ilibidi kuuzia tu wafanyabiashara wa ndani. Access ya haya masoko ya kigeni ni magum.
Izinduke nn kwann na wao wasiwatafutie masoko bidhaa wakulima na wafanyabiasharaYule ni mfanyabiashara mkubwa kwa hiyo si ajabu. Sitaona ajabu ikiwa watakuja kununua kwetu halafu wa export kama zao la kenya. Inatakiwa wizara husika zizinduke bila kungoja amri.