Kwa uhalisia, Kenya wamejipanga siku nyingi sana kwenye sekta ya mbogamboga, maua na matunda... Ukiangalia vyanzo mbalimbali vya taarifa kwa foreign earning projections, mwaka jana wenzetu maingizo ya Horticulture yalikuwa kati ya USD 104 ndani ya miezi 8. Taarifa ya mwisho wa mwaka waligonga USD 153 bil.
Kwetu hapa, taarifa toka TAHA (Tanzania Horticultural Association) iliyotolewa na Jacquelene Nkindi, Tanzania tulikuwa tunategemea kuvuna USD 1.3 bil ndani ya miaka 3 - 5;
Where do we fail; hatuna wazalishaji wengi
Part ya kinachazalishwa kinakuwa exported kupitia Kenya kwa kuwa kwa muda mrefu hatukuwa na ndege za kusafirisha mizigo.
Kwa kuwa hatukuwa tumejiandaa kwa pamoja kimkakati, airports zetu hazikuwa na cold-rooms kwa ajili ya storage ya horticultural products including parachichi
We have a long way to go kama tutadhania mambo yatatokea by default settings. Ila kama tutakuwa na mkakati wa pamoja kutoka wizara ya Kilimo/Uwekezaji/Uchukuzi na Fedha kuwa na agri-financing kwa ajili ya kupanua uwekezaji kwenye kilimo, tuna nafasi ya kupiga bao mbele ya safari.
It needs deliberate effort to arrive there and investment strategy to speed up the production which will increase the volume of what is needed in the market.
Tanzania ni yetu sote, tukiamua kwa pamoja tunaweza kuneemeka na foreign earnings including parachichi