Safari ya rais Uhuru, China yatia mkataba na kuifanya Kenya kuwa taifa la kwanza Afrika kuuza maparachichi China

Tanzania is yet to be given plant health approval by China so its all still just a dream for you guys, ours is a reality!
ingekua hio approval ni kutoka some western country huko sawa ingekua shida.....ila kwa China na tz hakuna cha kuharibika huku tunaset mitambo kwanza huko maparachichi mmepoozwa na kukosa mkopo
 
That is the biggest problem with you...we are minting dollars from avocado exports. endelea kucheka kama zuzu
Baada ya kuuza maua ulaya sasa hivi wanataka kuanza kuuza maparachuti china.
Wakati nchi za afrika zinatafuta kujikomboa wao wanatafuta mtawala.
 
Shallow minded dimwit, Kenya will prosper by trading with the world. No nation can survive alone. Only trading with the world will make Africa free. Even USA,China, Germany, Japan etc look for markets all over the world. That is how they have become powerful nations.

Even Tanzania looks for markets outside. Otherwise hata zile Korosho zenu mliuza Kenya. Kwanini hamkula zote???
Toa ujinga kwenye kichwa chako kaka.
 
😀😀😀😀 Tutafika Morogoro kweli kama Kenya wamenyolewa hivyo bila kusahau yetu imefika kibaha na Mturuki katoroka baada ya hela kukosekana
 
Koroshow zinaota maghalani baada ya kiki ya jiwedem(kijamaika) kwa washamba wa Tz
 
😀😀😀😀 Tutafika Morogoro kweli kama Kenya wamenyolewa hivyo bila kusahau yetu imefika kibaha na Mturuki katoroka baada ya hela kukosekana

Ahaaa haaa haaa
Wazee wa MAPARACHICHI.
Teh teh teh tihiii
 
Shallow minded dimwit, Kenya will prosper by trading with the world. No nation can survive alone. Only trading with the world will make Africa free. Even USA,China, Germany, Japan etc look for markets all over the world. That is how they have become powerful nations.

Even Tanzania looks for markets outside. Otherwise hata zile Korosho zenu mliuza Kenya. Kwanini hamkula zote???
Toa ujinga kwenye kichwa chako kaka.
Pwahihihihi. Tanzania ipo na mazao meeeeeengi mno.
Sasa badala ya kusain deal za maana mnakuja na issues za #PARACHICHI
 
Shida za TZ na za Kenya ni tofauti sana. Wakenya wengi wamepanda parachichi kwa wingi kwa muda wa miaka tano iliyopita.
Hii deal itawapa wengi wao mapato maradufu.. hilo jambo litawafikia wananchi mashinani. Wakenya wamefurahia jambo hilo.
Kwa hivyo ukiskia tumeuza 1USD Billion of avocados , hiyo pesa imeingia kwenye mifuko ya Wakenya.

Our farming is export oriented, that is why your economy is 60B USD na KE ni 100B USD, hata kama mna resources na nchi yenye rutuba na mvua nyingi. PUGA
 
So you think, China is gonna pay you a double price.

Again that revenue is never coming to Kenya. It's getting back to the foreign investment firms (mno) which their priority is to recoup the capital outlay. Most of you guys are just labourers who receive wages.
 
Tukifika Morogoro na kuwauzia Mchina mihogo mnitag 😀
 
Ahaaa haaa haaa
So you think, China is gonna pay you a double price.

Again that revenue is never coming to Kenya. It's getting back to the foreign investment firms (mno) which their priority is to recoup the capital outlay. Most of you guys are just labourers who receive wages.
China is not the first Avocado market for KE, so we are already making money.
However it will be a great addition to our portfolio.
 
Back
Top Bottom