Safari ya Simba kwenda Dubai haipo kiuweledi

Inaongeza uchovu kwani unaenda na coaster ni masaa matano tu na fly Emirates unashtukia umeshafika tayari kwa hyo suala la uchovu sio kweli kama unavyoelezea hapo.
 
Simba Inawaza klabu bingwa makundi yatakayoanza mwezi wa pili. Kama siku 30 hivi.

Halafu mtu akienda na ndege Dubai anafika kabla ya mtu aliyeenda Mwanza kwa basi.(kutokea Dar)
 
We naye mweupe

Sent from my TECNO KA7 using JamiiForums mobile app
 
Dogo... Wao wameshaenda... Na wewe umebaki hapa unaumia. Mi nlienda huko Mwezi wa 12. Acha watu wa enjoy ukikosa nafasi wewe usiwachukie wenzio. Mambo ya Ngoswe Mwachie Ngoswe.
 
Kunywa maji... Matatizo ya maisha yako na hasira usisukumie wengine jifunze kuvumilia then jipange yataisha tu hayo.
 
Umegundua safari haipo kiuweledi na haina manufaa, wewe ukiwa kama nani?

Ikiwa team nzima pamoja na kocha, viongozi, madaktari, wachezaji na benchi la ufundi kwa pamoja wameona kuna manufaa, wewe ni nani basi hata uwapangie?
 
Tumekwenda kibiashara!

Yule KOCHA wetu wa MAKIPA ile kesi.yake imeishaje?
 
Acheni wivu mnaweza kwenda kigamboni tu mkachone mihogo hamjakatazwa.

Halafu kile kijamaa chenu njiti mkionye kisitupe hovyo maganda ya mihogo.

Sent from my Infinix X626 using JamiiForums mobile app
 
Wameenda na kosta?😅😅 maana mlisusia bidhaa za Azamu mmerudije Dar 🤣🤣🤣🤣
 
Hata waahirishe, wakirudi watafungwa tu. Kama mpaka leo timu imemsajili mchezaji mmoja tu; tena Saido Ntibazonkiza!! Tutegemee maajabu gani kwenye hiyo safari yao!!

Ni kupoteza tu muda.

Yanga imesajili wangapi mkuu?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…