Kilasara
JF-Expert Member
- Dec 21, 2008
- 577
- 116
Chama cha Mafisadi kinamtishia SS na u-spika wake. What is his future?
Licha ya kwamba mimi binafsi sikupenda majigambo ya Sitta kule Bungeni eti ataendelea kuwa spika hata baada ya 2010, na pia sikukubaliana na maelezo aliyotoa juu ya kukodishiwa nyumba inayogharimu Serikali US$ 7,000 kwa mwezi; na kwamba ni maamuzi ya Idara ya Usalama na maofisa wa Ikulu; naamini Sitta ni mpingamizi aliyejitokeza hadharani dhidi ya ufisadi. He is an asset to fellow fighters.
Ni refreshing na ni dalili za matumaini kwamba kuna wapiga kura wengi huko Urambo wanaoona ni lazima vita dhidi ya mafisadi iimarishwe. Na kweli hii ni uthibitisho kuwa wanaCCM wanagawanyika: yaani kuna wale waliomsherehekea Chenge wa "Vijisenti" na hawa wanaosherehekea kurudi nyumbani kwa shujaa SS. Watu tofauti!!!!!! WanaJF tujiulize, CCM ipo? Nimearifiwa kwamba Chenge ana-serve katika Kamati ya Maadili ya chama chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwalimu huko alipo sijui anaonaje chama chake.
Kama Muasisi wa Taifa letu alivyopata kutamka, na amenukuliwa pia na WanaJF ktk thread hii, CCM si mama au baba wa Nyerere. Nyerere angeweza kuachana nao. Vivyo hivyo CCM si mama au baba wa Sitta. Sitta anaweza kuachana nao.
Jinsi inavyojulikana, chama cha siasa nchini ambacho kime-spearhead vita dhidi ya ufisadi Bungeni na nje ya Bunge kwa dhati, kwa miaka hii mitatu ni Chadema. Hiki Chama kina Katiba inayotamka kwamba Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 anaweza kuingia na kuwa mwanachama, bora tu atie saini katika Fomu ya Maombi ya Uanachama.
Chadema kinajadili masuala yote ya taifa kidemokrasia, na Sitta au mpinga ufisadi yeyote anayefukuzwa na ccm akijiunga na chadema, anaweza kuendeleza mjadala itakaoweza kunusuru taifa hili toka janga linaloelekea kutuangamiza. Time your exit properly and join genuine intrepid democratic patriots.

Last edited: