Safari ya Spika Sitta Urambo baada ya NEC August 2009

Chama cha Mafisadi kinamtishia SS na u-spika wake. What is his future?

Licha ya kwamba mimi binafsi sikupenda majigambo ya Sitta kule Bungeni eti ataendelea kuwa spika hata baada ya 2010, na pia sikukubaliana na maelezo aliyotoa juu ya kukodishiwa nyumba inayogharimu Serikali US$ 7,000 kwa mwezi; na kwamba ni maamuzi ya Idara ya Usalama na maofisa wa Ikulu; naamini Sitta ni mpingamizi aliyejitokeza hadharani dhidi ya ufisadi. He is an asset to fellow fighters.

Ni refreshing na ni dalili za matumaini kwamba kuna wapiga kura wengi huko Urambo wanaoona ni lazima vita dhidi ya mafisadi iimarishwe. Na kweli hii ni uthibitisho kuwa wanaCCM wanagawanyika: yaani kuna wale waliomsherehekea Chenge wa "Vijisenti" na hawa wanaosherehekea kurudi nyumbani kwa shujaa SS. Watu tofauti!!!!!! WanaJF tujiulize, CCM ipo? Nimearifiwa kwamba Chenge ana-serve katika Kamati ya Maadili ya chama chake!!!!!!!!!!!!!!!!!! Mwalimu huko alipo sijui anaonaje chama chake.

Kama Muasisi wa Taifa letu alivyopata kutamka, na amenukuliwa pia na WanaJF ktk thread hii, CCM si mama au baba wa Nyerere. Nyerere angeweza kuachana nao. Vivyo hivyo CCM si mama au baba wa Sitta. Sitta anaweza kuachana nao.

Jinsi inavyojulikana, chama cha siasa nchini ambacho kime-spearhead vita dhidi ya ufisadi Bungeni na nje ya Bunge kwa dhati, kwa miaka hii mitatu ni Chadema. Hiki Chama kina Katiba inayotamka kwamba Mtanzania yeyote mwenye umri wa miaka 18 anaweza kuingia na kuwa mwanachama, bora tu atie saini katika Fomu ya Maombi ya Uanachama.

Chadema kinajadili masuala yote ya taifa kidemokrasia, na Sitta au mpinga ufisadi yeyote anayefukuzwa na ccm akijiunga na chadema, anaweza kuendeleza mjadala itakaoweza kunusuru taifa hili toka janga linaloelekea kutuangamiza. Time your exit properly and join genuine intrepid democratic patriots.
 
Last edited:
Jamani,

Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!

LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!

Bwassa

B wassa ...............Lwassa kazi kweli kweli vita kubwa
 
Ni mmoja wao, katumwa!!! Asisahau kufikisha fikra za tulio wengi hapa!! Naona mko wachache!! Poleni. Kila mahali ilipo tread ya SITTA na vikao vya juzi Bwassa yupo!! Safi ndiyo uhuru wa kujinafasi huo, tiGo, express yourself!!! Soorry, siyoo ile tiGo mnayojua wachache, ni tiGo ya kweli mtandao!! Welcome to the Home of Great Thinkers!!
 
Up to the moment sijafahamu anapokelewa kwa tiketi gani ? Ikiwa ni kweli wanampokea kwa kukataa kuomba razi au wanampokea kwa kutii amri za CC & NEC katika kumezea na kukaa kimya pale ambapo anaona wananchi wanaburuzwa na atatumia biashara aliyopewa ya kuifanya bungeni ya kuwaziba midomo wabunge na pia kukemea wale wanaoihoji serikali na viongozi wake ,watu wanaompokea hadi sasa sijawaelewa wapo upande gani au ni mbinu za CCM na wanachama wake wachache kuonyesha kuwa Sitta ni mnyenyekevu na mfuataji wa maamrisho ya NEC dhidi ya wabunge waliochaguliwa na wananchi ambao wanatetea na kuitetea nchi hii.?
 
kazi ya kuupinga ufisadi ni kubwa sana ndugu zangu,hata mananchi wa kawaida mnanunuliwa japo hamjapewa hela? sasa lipi la kushangaa six kupokelewa kwao kwa shangwe?of course amethubutu kuwatikisa mafisadi, sioni shida, mbona usishangae mijitu inayokula hela za nchi kujinufaisha? hao wote hapo juu wanaomsuta six ni wapambe wa RA na EL mnajulikana sana.Sita km binadamu lazma awe na mapungufu who doesnt?muhimu ni kuwa ana mwelekeo gani basi.Mafisadi tutawamaliza tuu, kwa keyboard na kura zetu, maibilisi wakubwa nyie!!
 
Time your exit properly and join genuine intrepid democratic patriots.

Mkuu Kilasara, highlighted is worth!! Ni vizuri asikurupuke, awe kwanza na firm exit strategy!! Na huu ndiyo ule msemo wa hayati baba wa Taifa kuwa "Natamani ssm kupasuka mapande mawili" na upinzani wa kweli utatokana na mwanasisiemu imara!!! Ni nani huyo?? Tunasubiri!!
 
Katika kile kinachoonekana kutofautiana na maamuzi ya NEC, baadhi ya wapambe wa Mh SS wanaoshi katika jimbo la Urambo wanafanya maandalizi makubwa ya kumpokea Mh SS kwa maandamano makubwa ikiwa ni pamoja na kukodi piki piki zote za kibiashara katika mji wa urambo, aidha mapokezi hayo ya aina yake yatafanyika katika kijiji cha Ndorobo nje kidogo ya mji wa Urambo na kwa kiasi kikubwa maandalizi yote yamekamilika chini ya uongozi wa Bwana Welly aliyekuwa katibu uchumi na fedha wilaya ya urambo na Katibu mhamasishaji wa vijana mkoa wa Tabora kwa mwaka 2003-2004. wakati huo huo taarifa nilizopata muda si mrefu kutoka kwa wadau wa siasa wa mji wa Tabora
ni kwamba maandalizi kama hayo pioa yanafanyika Tabora mjini chini ya katibu wa siasa na uenezi wa CCM wa Tabora mjini bwana Rashid Ramadhani Tall. kila la kheri Spika tunakusubiri kwa hamu Tabora na mapokezi ya nguvu!

Mapokezi hayo yatakuwa chini ya ujumbe gani? Na jee yeye Mhe. 6 atakuwa tayari kuyapokea iwapo yatakuwa yanamchonganisha na mabosi wake?
Nahisi hana ubavu huo kwani amekamatwa pabaya na Mafisadi, aidha aendeleze kuwaandama na arudi kule alikokuwa au awe puppet pale juu ya kiti. Na kwa mchongo wake nafikiri hasira zake zitaonekana kwa Kina Zitto na Slaa na sio kina Rostam tena.
Pia hii itakuwa ni salamu kwa wale kama yeye. Tusubiri labda wapo watakaobaini kuwa kura hupigwa na wananchi na sio CCM NEC
 
Jamani,

Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!

LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!

Bwassa

Bwassa has no status.
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Jun 2009
Posts: 13
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif

JF imevamiwa, tehehee
 
Bwassa has no status.
Member
red_left.png
red.png
red_right.png
green_left.png
green.png
green_right.png
Join Date: Tue Jun 2009
Posts: 13
Thanks: 0
Thanked 1 Time in 1 Post
Rep Power: 0
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif
reputation_pos.gif

JF imevamiwa, tehehee

Tena na vibaraka wa mafisadi,lakini hii ni nzuri kwani watajua watanzania wanafikiria nini juu ya ufisadi.Na kwa taarifa yao, siku tunawaondoa madarakani hakika tutawaangamiza wote pamoja na wapambe wao,ujumbe ndio huo.
 
Jamani,

Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!

LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!

Bwassa

unataka kuturudisha nyuma vibaya mnooooo
 
Kwangu mimi naona haku na tatizo lolote kwa watu na wapiga kura wa bwana Sitta kumpokea kwa shangwe na mbwembwe za kila namna maana ni bora huyu ambaye ameonekana ana mwelekeo wa kupigania wanyonge wa nchi hii kuliko kuwapokea akina Lowassa ambao wameiingiza hii nchi kwenye mikataba ya kijinga na mzee wa vijisenti Chenge ambao walipokewa kwa shangwe kubwa huko majimboni kwao... hebu nambie hawa jamaa wengine walipokelewa kwa shamra shamra kwa kipi haswa?? Ni kiongozi gani ambaye angethubutu kutoa maneno mazito kama aliyoyatoa bwana Sitta siku ile Mheshimiwa rais alipolihutubia bunge??? Kama ni mwenye akili basi wala hautaona tatizo kwa huyu mzee Sitta kupokewa na shamra shamra lakini kama ndo wale wale wenye kufaidi matunda ya ufisadi basi tutaendelea kukuelimisha taratibu mpaka utaelewa... WAPIGA KURA WA URAMBO MPOKEENI SHUJAA WENU HATA MKICHINJA NG'OMBE WOTE HUKO CHINJETI TU MUMPOKEE MTU MLIYEMTUMA AKAWATETEE PALE MJENGONI IDODOMYA
 
Kumbe kila ukitofautiana na kundi fulani, unapokelewa kwa shangwe jimboni? AC, EL, Dr Harison, na sasa inafuata 6 !! Kwa nini watanzania tunapenda sherehe bila kuangalia tunachoshabikia ni nini?
 
Hata humu JF, mtu akipewa ban na Mods, inashangaza pale atakaporudi anaanzishiwa thread ya kukaribishwa na kupewa pole kuashiria kwamba alionewa. Huenda hii ni nature fulani ya kibinadamu, au ya kundi fulani la jamii, kwani hapa wanaomkaribisha 'the banned member' ni 'Great Thinkers', kwa hiyo hatuna sababu ya kuwalaumu 'wasio' Great Thinkers huko majimboni!!
 
jamani mwacheni six,mbona akina Lowasa walipokewa kwa shangwe kwao pamoja na kuwa walifanya UFISADI kwa kujiundia kampuni hewa ya RICHARD from MONDULI(richmond)?.Mwacheni jamani naomba mwacheni......
Jamani,

Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!

LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!

Bwassa
 
kazi ya kuupinga ufisadi ni kubwa sana ndugu zangu,hata mananchi wa kawaida mnanunuliwa japo hamjapewa hela? sasa lipi la kushangaa six kupokelewa kwao kwa shangwe?of course amethubutu kuwatikisa mafisadi, sioni shida, mbona usishangae mijitu inayokula hela za nchi kujinufaisha? hao wote hapo juu wanaomsuta six ni wapambe wa RA na EL mnajulikana sana.Sita km binadamu lazma awe na mapungufu who doesnt?muhimu ni kuwa ana mwelekeo gani basi.Mafisadi tutawamaliza tuu, kwa keyboard na kura zetu, maibilisi wakubwa nyie!!
Nakuunga mkono kaka, najua six si malaika na katika ubinadamu wake lazima ana mapungufu. Ni wajibu wetu kumsahihisha. Lakini basi kuna sababu gani ya msingi ya kupuuza hata mazuri anayofanya? Vyovyote iwavyo kitendo cha kujaribu kuipelekesha serikali tena ya chama chake ni cha kishujaa sio cha kupuuzwa. Anachohitaji cx sasa ni kuungwa mkono na sio kukatishwa tamaa. Hekooo mheshimiwa cx kaza buti twende mbele tuwatoe mbio mafisadi.
 
Jamani,

Mzee huyu wa Urambo anapokelewa kwa shangwe, kwa kitu gani hasa? Huyu si ametuhumiwa waziwazi ndani ya kikao cha Halmashauri Kuu ya chama chake cha CCM kuwa, kwa vitendo vyake, anakisaliti chama hicho na akanusurika kung'olewa baada ya kuomba radhi? Sasa ndiyo anazidi kujichimbia kaburi la kisiasa. Si aliwahi kushindwa huyu Urambo mwaka 1995? Sasa, tangu 2005, amekuwa akijaribu kujijenga upya kisiasa, kuchukua ajenda ya "Ufisadi" imsaidie (kwa kushirikiana na timu yake ya Wabunge, wenye gele na usongo na UWAZIRI, inayoitwa "First Eleven": akina Dk. Mwakyembe, Ole Sendeka, Lucas Selelii, Anne Kilango,Stella Manyanya, Betrice Shelukindo n.k. anaowapangilia Bungeni). Lakini kumbe, kwa vile zote hizo ni hila, sasa ameshitukiwa na Chama chake. Hii kwamba anapokewa kwa shangwe ni propaganda tu za kujaribu kumvika nguo!

LAKINI, kama nilivyowahi kueleza hapo awali, mahali pengine humu katika JF, tatizo la mzee huyu la fitina na usaliti wa kisiasa, halikuanza leo! Katika miaka ya mwanzoni ya 1990, akiwa Waziri wa Sheria (na baadaye akaondolewa, baada ya kushindwa Ubunge wa Urambo), alishiriki "kiujanjaujanja" katika hoja ya kutaka kuleta Serikali ya Tanganyika katika mfumo wa Muungano, ili uwe wa Serikali Tatu badala ya Mbili.
Katika kitabu chake, UONGOZI WETU NA HATIMA YA TANZANIA. Uk. wa 20 hadi Uk. 27, Mwalimu Nyerere alimsema vibaya sana Sitta, kwa kupeleka mbele ya Halmashauri Kuu ya CCM, Dodoma, "TAARIFA YA SERIKALI JUU YA AZIMIO LA BUNGE KUHUSU HAJA YA KUUNDA SERIKALI YA TANGANYIKA NDANI YA MUUNDO WA MUUNGANO". Mwalimu Nyerere alisema, kuhusu taarifa hiyo, katika kijitabu hicho: "Taarifa yenyewe ni ndefu, maana ina maelezo mengi ya mapambo tu, au ya kiinimacho(Uk. 20)...Baadaye, baada ya kikao, nilimtafuta Ndugu Sitta, nikampa pole kwa kupewa jukumu la kueleza jambo ambalo halielezeki (Uk. 27)...". Huyo ndiyo Spika Sitta, mbele ya macho na fikra za Mwalimu Nyerere! Hivi ni mpiganaji kweli wa vita dhidi ya "Ufisadi", au ni msaliti tu wa Chama chake? Wana-CCM na msio wana-CCM na ni Watanzania tu wenye nia njema, pimeni!

Bwassa

Sasa wewe kinakuuma nini wana-Urambo kumpokea shujaa wao? Huyu ni shujaa kwa kuwa anapambana kikamilifu na mafisadi waliowahonga wajumbe mabwege wa NEC eti ili wamng'oe! Shame on you RA and EL na vibaraka wenu wote. Na hao unaowakejeli kwa kuwaita 'First Eleven' ndio mashujaa wa taifa hili. Usithubutu kuzungumza upuuzi huu uliouandika humu mbele ya wana wa nchi hii wanaochukizwa na ufisadi, watakubonda! Ohooo, shauri yako....
 
Bws Mapokezi si ya kwako unaanza kuyafungia kibwebwe. Waache waurambo wafanye sherehe yao. Kama wanamkubali kwa maisha yao inakuuma nini? Inaonekana unatoka kampuni ya EL na RA, thibitisha
 
Mugo"The Great";557935 said:
Huyu Bwana Welly naona anataka kujipalia mkaa. Kuna wakati yeye na Brother wake waliwahi kutishwa kuwa sio raia baada ya kutoonyesha mapenzi mema kwa sisiemu. Kwa vile ameamua kusigana na NECK ambayo inabeba HEAD(Fisadis) ya sisiemu basi awe tayari kwa Mapambano from RA et al.

Yetu macho! 6 kula maisha!! ikifika muda utalipa
 
Back
Top Bottom