Safari ya Sudani Kusini

Well done mkuu. Nimesoma nimeelewa pa kikubwa kuhusu Sudan Kusini. Nina rafiki wa kwenye mtandao Bint toka Juba.

Mengi uliandika alinisimulia na ni muoga sana kuhusu huko kwao.
 
Vipi fursa za biashara huko kama mahindi,Mchele ,Maharagwe ki ujumla nafaka hukuwahi kudadisi kidogo.Make nasikia Mo anapeleka sana Nafaka huko.
 
Shukrani mkuu.
Na utaratibu wa kuipata ukoje?
Nataka niende kuchukua bidhaa flani
Nenda Ofisi yoyote ya uhamiaji watakupa utaratibu wote, kwenda kwenye Nchi za East Africa unaweza pata hata ya muda unalipia kidogo
 
Safi sana. Sasa natamani kusikia ya Syria na Yemen bila kusahau kule tigray Ethiopia
 
Wewe ni kajinga. There is first time for everything.

BTW, wewe ni Limbukeni wa karne.
 
Ndugu kama hutojali naomba contact zako kuna vitu natamani nikuulize kuhusu Sudan
 
KICHWA CHA HABARI KWA 75% KIMEBEBA MAUDHUI KUHUSU WAMASAI. LAKINI HABARI YENYE KWA 75% UMESIMULIA ULIYOYASHUHUDIA SUDAN KUSINI. AHSANTE KWA SIMULIZI. KWANI SIMULIZI KAMA HIZI HUWA NAZISOMAGA KULE KATIKA JUKWAA LA 'ENTERTAINMENT'
 
Hapo kwny sura zakutisha ni kwel,umenikumbusha kuna jiran yetu dereva was magar makubwa anasema walikua wakipeleka mzigo wa tajir Sudan kusin ,mara nyingine unakuta watu wamesimama mbele ya gari wameshika silaha wana sura mbaya za kutisha km vinyago,ole wako ucheke wanakupiga mawe gar yako mpaka wapasue vioo na wanakunyang'anya Mali zako, hivyo walikua wakisimama yy alikua kimya katulia anaenda kuchekea mbele,anasema Sudan kusin na Congo watoto wadogo kushika silaha na kuzitumia ni Jambo la kawaida sana
 
Hongera sana! Lakin vp kuhusu uchumi? Vp kuhusu chakula? Vp kuhusu miundombinu? Vipi kuhusu mahusiano ya kijamii (makabila) wanavyoishi? vipi kuhusu mademu? Vipi kuhusu utamaduni (entertainment)? Maswali mengi hujajibu. Umeelezea safari tu. Next time jitahid uyajibu yote
 
Mkuu niliweka picha naona wana jukwaa wameziondoa kwani inaruhusiwa pia kuweka video??
Kwanini mods wanaziondoa picha sasa? Mbona wanaleta mambo ya kishamba ya kudhibitiana Kama Magu yupo hai anatupeleka kidikteta? Kwani picha Zina shida gani, na Tena sio za nchi hii?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…