hawezi kupita mana yeye ndio kapata kura chache ila ndio ajue malipo ni hapahapa.....angepita leo wa2 wangeoga mvua ya matusi na hao vinuka mkojo wke,wewe hakui alijua usupastaa njaa utambeba
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..walaaah bibie kanyooshwa hatare...dah kwel a walk to remember' nilijua tu lazima aangukie pua..mytake rudi town mama ubaya ukamtoe ck jela...bwahahaaa!wee vigodoro ndo saiz yako bibie...ubunge waachie kina esther Bulaya...sipati picha wabeba pochi wake kina petitman kama nawaona yalivyowashuka..wamekatishwa ndoto za kuendesha v8...hahaa
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..
Teh Teh Martha mwenyewe kaangukia pua..
Inawezekana ni kama wale wanao katwa...
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311
Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!
Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.
hawezi kupita mana yeye ndio kapata kura chache ila ndio ajue malipo ni hapahapa.....angepita leo wa2 wangeoga mvua ya matusi na hao vinuka mkojo wke,wewe hakui alijua usupastaa njaa utambeba
Duuuuh nae wamenyoosha kwa umaarufu wake wote kweli singida hawana masihara wamempa z uso.....muosha nae huoshwaaa na bado watanyooka 2
Umaarufu wote huo Kura 90?
Duh, kakatwaaa...nlisema Mimi wanawake hawampitishi.. Kama mijishangingi huko UWT ndo imejaa plus fitna za hatari. Shikamoo CCM...bora angeenda ACT tuu.