Leak
JF-Expert Member
- Feb 22, 2012
- 52,916
- 43,505
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311
Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!
Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.