Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Leak

JF-Expert Member
Joined
Feb 22, 2012
Posts
52,916
Reaction score
43,505
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311

Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!

Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.
 
Attachments

  • uploadfromtaptalk1437757470560.png
    uploadfromtaptalk1437757470560.png
    22.4 KB · Views: 3,345
Duuuuh nae wamenyoosha kwa umaarufu wake wote kweli singida hawana masihara wamempa z uso.....muosha nae huoshwaaa na bado watanyooka 2
Teh Teh Martha mwenyewe kaangukia pua..
 
walaaah bibie kanyooshwa hatare...dah kwel a walk to remember' nilijua tu lazima aangukie pua..mytake rudi town mama ubaya ukamtoe ck jela...bwahahaaa!wee vigodoro ndo saiz yako bibie...ubunge waachie kina esther Bulaya...sipati picha wabeba pochi wake kina petitman kama nawaona yalivyowashuka..wamekatishwa ndoto za kuendesha v8...hahaa
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..
 
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311

Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!

Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.

Ahahha warumi nimerudi rasmi katika ubora wangu
 
hawezi kupita mana yeye ndio kapata kura chache ila ndio ajue malipo ni hapahapa.....angepita leo wa2 wangeoga mvua ya matusi na hao vinuka mkojo wke,wewe hakui alijua usupastaa njaa utambeba

hahaaa leo ndimu zingetugeukia aisee...
 
Duuuuh nae wamenyoosha kwa umaarufu wake wote kweli singida hawana masihara wamempa z uso.....muosha nae huoshwaaa na bado watanyooka 2

Duh, kakatwaaa...nlisema Mimi wanawake hawampitishi.. Kama mijishangingi huko UWT ndo imejaa plus fitna za hatari. Shikamoo CCM...bora angeenda ACT tuu.
 
Aiseee
 
Binamu nimekumis sanaaaaa na leo nimefurahiiiiii
 
Back
Top Bottom