Singida ndio home
JF-Expert Member
- Feb 23, 2012
- 3,188
- 3,370
Martha kawa Mnyonge kweli...! Sasa Wema aendelee na harakati
mie nimemuonea chilolo na martha kwa kweli..sio kwa kukatwa vile hahaa..kweli mwaka huu mambo ni virse versa...
Hatari sana mwaka huu bunge litakuwa na sura mpya sana..
hahaaa leo ndimu zingetugeukia aisee...
Inawezekana ni kama wale wanao katwa...
Duh, kakatwaaa...nlisema Mimi wanawake hawampitishi.. Kama mijishangingi huko UWT ndo imejaa plus fitna za hatari. Shikamoo CCM...bora angeenda ACT tuu.
haya mambo hayana huruma ram...ndiyo inawezekana ikawa siyo..Martha ameshika nafasi ya pili, Chilolo ndio kaangukia pua maskini
hahaaa hatariii saana mkakaaVinegar ndio suluhisho ikifel itakua ana minyoo sugu...alizentel ndio tiba
Pengine asubiri huruma ya NEC...au Rais anaweza kumpa ubunge..
Umaarufu wote huo Kura 90?
Hatari sana mwaka huu bunge litakuwa na sura mpya sana..