Binamu nimekumis sanaaaaa na leo nimefurahiiiiii
Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311
Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!
Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.
Awezi kuwa spika tena.
.
haya mambo hayana huruma ram...ndiyo inawezekana ikawa siyo..
hahaaa hatariii saana mkakaa
Hahaaa kilaza kalazwa alijua singida ni maboya.....hayo majimama nayapa ofa ya viroba chapa jogoo carton 10..kweli ule usemi wa mjini msingi kiuno umefeli
That's why wanasema siasa ni mchezo mchafu, its true! Jamani Vicky huko geita ni vipi?
Hongera wema umejaribu umeweza
Mkuu hivi na wewe ulisema umetia nia eeh? au network yangu kichwani imevurugwa
kiboko ya wema singidan..hana makuu mbunge wetu...
hhhaahhhaaa...nimetia nia ila mi nasubiri asilimia za chama chetu...!!
Nihadithie kidogo basi huyo Mattembe ni nani kabla? Mi singida niliondoka zamani kidogo.
Wanamtiaga bichwa kule insta....ooh Tanzania's sweetheart... kiko wapi. Siasa fitna bwana, ye anaweza kumfitinia Dai tuu, Levo za CCM bado. Amuulize Shyrose Bhanji anawajua vizuri CWT.