Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Wasalaam wanajamvi!
Safari ya Mwana dada Wema sepetu imeishia UWT baada ya kupata kura 90! Hata hivyo naye martha mrata kaangukia pua baada ya kupata kura 235! Huku Asharose Mattembe akipata kura 311

Hata hivyo pengine Wema anaweza kupitishwa kama NEC wakiona kuna sababu ya kumpa nafasi!

Nichukue fursa hii kumpongeza Wema kwa kujaribu.

nilijua tu wangepiga kura mashabiki wake wa insta angepata
 
sera alizoziongea nilizisoma twitter leo, kwa kweli zilikuwa hata aliyendotoni anayasema maana yote yeye sio mfano hata kwa nusu. kwa kweli aende akasome acting au kingine hata akirudi kesho na pesa hakuna tena atapata 1 au 0.
 
haya mambo hayana huruma ram...ndiyo inawezekana ikawa siyo..

hahaaa hatariii saana mkakaa

That's why wanasema siasa ni mchezo mchafu, its true! Jamani Vicky huko geita ni vipi?
 
Hahaaa kilaza kalazwa alijua singida ni maboya.....hayo majimama nayapa ofa ya viroba chapa jogoo carton 10..kweli ule usemi wa mjini msingi kiuno umefeli

Wanamtiaga bichwa kule insta....ooh Tanzania's sweetheart... kiko wapi. Siasa fitna bwana, ye anaweza kumfitinia Dai tuu, Levo za CCM bado. Amuulize Shyrose Bhanji anawajua vizuri CWT.
 
That's why wanasema siasa ni mchezo mchafu, its true! Jamani Vicky huko geita ni vipi?

hahaaa ni veepeee mama kamata unaeza ukakuta na yy kakatwaz nini...teh teh naona wanaugulia maumivu kimya kimyaz
 
Nihadithie kidogo basi huyo Mattembe ni nani kabla? Mi singida niliondoka zamani kidogo.

huyu si nyaturuline..hahaa kiboko ya wema!sema nin wema alikua ana pupa sana unatakiwa usome mchezo ndipo uingie sasa yy alikurupuka na misifa ya ig..eti nyota nyota ya mihogo kuliwa na wanafunzii...pyee waache wazawa wanaojua mitaa..vitongoji..kata zote watumikie..huyu arud tu kwenye vigodoro vyakee hehee...teamwema am solee
 
Kumbe kushika mkia sio shuleni tu hadi CCM ipo. Wema Thepetu kashika mkia maskini, ila hata mi ningeshaa kama angepita, ningeona Tanzania ina watu wa ajabu kweli, yaani hadi machangudoa tuwapigie kura kuingia mjengoni?! Hiyo haikubaliki, machangudoa mwisho wao Insta, Front Page za magazeti pendwa na kuuza sura kwenye TV, ila kuingia mjengoni ni big NOOOO!!!!
 
Wanamtiaga bichwa kule insta....ooh Tanzania's sweetheart... kiko wapi. Siasa fitna bwana, ye anaweza kumfitinia Dai tuu, Levo za CCM bado. Amuulize Shyrose Bhanji anawajua vizuri CWT.

Itakua hajijui kua yeye hana nyota bali aba gundu 2....nyota inayo chibu na bado watanyooka 2 mwaka huu,kweli nimeamini hana akili sasa kadinda n petit nao wanawake ndio walikua wapiga debe wke
 
Back
Top Bottom