Safari ya Wema kuelekea bungeni yaishia UWT

Mungu akusimamie mwaya, Hongera kwa Wema kura 90 si mchezo, sasa ni wakati wake wa kujipendekeza jimboni kikamilifu 2020 atabadilisha sana matokeo, Ngoja nami nianze 2020 ntasimama nae kama atagombea tena.
Ama kweli ukishangaa ya Wema utayaona ya Binti kiziwi,yaani kabisa Wema wakusubir 2020,badala ya kumshauri aanzee kufanya movies kimataifa bado,afu unajifariji kuwa Wema anaweza siasa..jipange
 
Ama kweli ukishangaa ya Wema utayaona ya Binti kiziwi,yaani kabisa Wema wakupewa 2020,badala ya kumshauri aanzee kufanya movies kimataifa bado,afu unajifariji kuwa Wema anaweza siasa..jipange

Wema ni mtu tu kama sisi wengine, hana chochote kilichopungua wala kilichozidi, siasa ni mipango ye hakujipanga mapema ndio maana pengine yametokea hayo, lakini kwa matokeo hayo ameprove kuwa angejipanga zaidi ya hapo matokeo yangebadilika kwa kiasi kikubwa.
Kama kweli anania ya kuupata ubunge ni muda sasa wakufocus kwenye kujijenga kisiasa, kupunguza negative rep, kujipendekeza huko jimboni haswa kwa viongozi wa UWT ili baadae wamsaidie katika kampeni kwa wajumbe.
 
Dah huyu alitakiwa apate japo kura 2 tu, hana la maana hata moja huyu,
 
hawa wa singida nao mapoyoyo....muuza k alitakiwa apate kura sufuri.....
 
Hujui kama Wema alijipanga zaidi kisiasa kipindi hiki kupitia skendo,kwasababu kwake yy alivyomchovu wa fikra,alidhani upuuzi wake utambeba,now anajibeba mwenyewe,so kwa miaka mitano ijayo,ndo atazidi kupotea kwenye ramani,cha msingi abaki njia kuu,siasa kwake sio dili,bongo movie yatosha
 
Na hapa ndipo wema anapokoseaga, huyu dada hajielewagi kabisa,yaani angejielewa now angekuwa mbali mno, kwanza hajui mashabiki/au team yake ni akina nani, insta mashabiki wake wengi ni watoto wa 0Level,wenye miaka 22 kushuka chini,sasa hawa na siasa wapi na wapi,wamempa kichwaa cha kupata ubunge mwishowe kaangukia pua.Huyu dada laiti angefungua maduka ya Nguo,na vipodozi angeenda mbali mno,coz atapata wateja wengi maana mafans wake wengi wako katika ule umri wa kufa na fashion.
 
mkuu bunge lililopita mkoa wa singida walitoa wabunge wawili viti maalum,,martha mlata na diana chilolo.hivyo inawezekana mlata akapeta
 
warumi tumeroga imewezekanaa hureeeeeeeeeeee dawa zetu kaliuii aisee niliamini hapiti,nikaona ninyamazeee,asante mola maana tusingepumuaaa humu ndanii

Mwenzangu kule kukesha kwetu makaburin uchi siku ishirini naona kumezaa matunda, haendi mtu bungeni hapa mxieeew yani kaumbuka manina zake na hyo misukule ya insta sijui itapeleka wapi misura yao kama mbuzi
 
Last edited by a moderator:
Hivi unaweza kujua kwanini aliingia huko UWT kwenye hiyo mimama mizoefu na sio UVCCM kwa vijana au chipukizi wenzake? Au hakujua hiyo tofauti??
 
Ahahha warumi nimerudi rasmi katika ubora wangu
Kuna watu wanapenda kuwanyima raha wenzao pasi na sababu,haya ulijificha wapi mpaka unalifanya jukwaa liwe kama mchuzi uliokosa ndimu na chumvi?
 
Team Wema wanampokea mnyange wapo Puma Oil Station Baruti...ni fujo tupu na pikipiki angepata ubunge sijui ingekuaje
 
in sukuma voice: wamemkattaa,isshhi nagendaa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…