youngdonats18
JF-Expert Member
- Jul 7, 2015
- 685
- 443
Ama kweli ukishangaa ya Wema utayaona ya Binti kiziwi,yaani kabisa Wema wakusubir 2020,badala ya kumshauri aanzee kufanya movies kimataifa bado,afu unajifariji kuwa Wema anaweza siasa..jipangeMungu akusimamie mwaya, Hongera kwa Wema kura 90 si mchezo, sasa ni wakati wake wa kujipendekeza jimboni kikamilifu 2020 atabadilisha sana matokeo, Ngoja nami nianze 2020 ntasimama nae kama atagombea tena.