Windows Xp 2002 service pack 2Windows 7 ni the best mpaka leo
Yes, I'm security ArchitectWewe ni IT expert?
Win 98 ,Win 2000 ,Win XP Sp1 -Sp3 nikaja Win 7 ,nikatoka sasa nipo kwenye MAC OS.Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac!
Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB.
Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji wakaipa jina la "Mistake Edition".
Win XP: Picha ya wallpaper ya milima ya kijani (Bliss) ni picha halisi na ndiyo picha iliyotazamwa zaidi duniani!
Win Vista: Ilileta muonekano wa vioo (Aero Glass) lakini ilidai nguvu kubwa ya kompyuta hivi kwamba PC nyingi za zama hizo ziligoma.
Win 7: Ilipendwa na kuwa thabiti hivi kwamba watu walikataa kuacha kuitumia kwa zaidi ya miaka 10.
Win 8: Microsoft waliondoa kitufe cha Start, jambo lililowakasirisha watumiaji hadi ikabidi wairudishe kwenye Win 8.1.
Win 10: Microsoft waliahidi ingekuwa toleo la mwisho la Windows, kabla ya kuwashangaza watu na Win 11! Pia ndio toleo lilianza kupatikana kwa njia za kudownload pekee bila CDs, CD zilipatikana kwa wateja wakubwa tu wa kibiashara.
Win 11: Ni toleo liliongeza mifumo ya kiulinzi na kiusalama zaidi hadi kufanya mamilioni ya kompyuta ambazo si zamani nazo kukosa sifa rasmi ya kuwekwa toleo hilo. Pia toleo hili ndio toleo lililokamilisha njia rasmi ya upatikanaji kwa njia ya mtandao pekee, njia nyingine za CDs na Disk (USB) spesheli zilikufa rasmi.
Je, ni toleo gani kati ya hizi uliipenda zaidi ulipokutana nalo kwa mara ya kwanza?
vipi kuhusu windows 2000?Win 95: Sauti yake maarufu ya kuwaka (startup sound) ilitengenezwa na mwanamuziki Brian Eno akitumia kompyuta ya Mac!
Win 98: Ilileta "Blue Screen of Death" (BSOD) live jukwaani mbele ya Bill Gates wakati akionyesha muunganiko wa USB.
Win Me: Ilikuwa na crash nyingi hivi kwamba watumiaji wakaipa jina la "Mistake Edition".
Win XP: Picha ya wallpaper ya milima ya kijani (Bliss) ni picha halisi na ndiyo picha iliyotazamwa zaidi duniani!
Win Vista: Ilileta muonekano wa vioo (Aero Glass) lakini ilidai nguvu kubwa ya kompyuta hivi kwamba PC nyingi za zama hizo ziligoma.
Win 7: Ilipendwa na kuwa thabiti hivi kwamba watu walikataa kuacha kuitumia kwa zaidi ya miaka 10.
Win 8: Microsoft waliondoa kitufe cha Start, jambo lililowakasirisha watumiaji hadi ikabidi wairudishe kwenye Win 8.1.
Win 10: Microsoft waliahidi ingekuwa toleo la mwisho la Windows, kabla ya kuwashangaza watu na Win 11! Pia ndio toleo lilianza kupatikana kwa njia za kudownload pekee bila CDs, CD zilipatikana kwa wateja wakubwa tu wa kibiashara.
Win 11: Ni toleo liliongeza mifumo ya kiulinzi na kiusalama zaidi hadi kufanya mamilioni ya kompyuta ambazo si zamani nazo kukosa sifa rasmi ya kuwekwa toleo hilo. Pia toleo hili ndio toleo lililokamilisha njia rasmi ya upatikanaji kwa njia ya mtandao pekee, njia nyingine za CDs na Disk (USB) spesheli zilikufa rasmi.
Je, ni toleo gani kati ya hizi uliipenda zaidi ulipokutana nalo kwa mara ya kwanza?
vipi kuhusu windows 2000? na before win 95 tulikuwa tunatumia 3.1 au vipi na MsDos
Hapana labda huna kazi nyingi latestWindows 7 ni the best mpaka leo