Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

Safari ya Yanga kuishia kwenye makundi?, Mc Alger na Al Hilal zitasonga mbele Robo fainali?

G Tank

JF-Expert Member
Joined
Feb 9, 2023
Posts
2,297
Reaction score
8,760
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Njia pekee ya Yanga kushinda mechi zote zilizobaki 😃😃 Yani amfunge Al Hilal Nyumbani kwao na amfunge Mwarabu kwa Mkapa,

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

1736110412150.png
 
Nikusahihishe kolo, MC alger game ya mwisho anamaliza kwa mkapa na yanga
Good Bye Yanga !! Mpaka mwakani.

Mc Alger ana points 5, Mechi ya mwisho anacheza na kibonde wa kundi Mazembe uwanja wa nyumbani

Walichobakiza Yanga ni kukamilishe Ratiba

View attachment 3193688
Gusa achia twende kwao yanga anatakiwa ashinde game mbili zilizobaki bila kujali matokeo ya wengine anafuzu
 
Hao Hilal hata leo ukiwaona wanavyocheza sijui itakuaje.
Yanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
 
  • Thanks
Reactions: Tsh
Bado kundi lipo wazi, Yanga akishinda mechi zake halafu ikawa hivi ikawa vile, tuka, waka inapita.
Yanga akishinda mechi zake wala haihataji ikawa hivi, ikawa vile kwasababu automatically Mc Alger watakuwa wamepoteza point 3
 
Yanga anaweza kukaza tu, sema kumaliza kwenye nafasi mbili za juu bado ni kitendawili kwao.Bado akiwin game zake mbili inabidi kuomba pia Mazembe amfanyie wepesi kwa Mc Alger tabu tupu
Ndo maana nasema Yanga shortcut nzuri ni mazembe kumtuliza Alger.
 
Back
Top Bottom