Magical power
JF-Expert Member
- Sep 27, 2022
- 2,158
- 5,626
SAFARI YANGU KWENYE BETTING!
Betting mwanzo niliiona kama issue ya kihuni sana. Na nilishangaa kumwona mtu niliyemweshimu sana anabeti. Ukweli nilimshusha thamani siku hiyo. na nilimwambia pale pale kuwa sikutarajia kukuona upo side hiyo😂 aliishia kucheka. akanitania kwa kusema ananipa 2months ntakuwa kama yeye🤭🤭
Hivi mnajua Why nilimshangaa yeye na sio wale wengine wote? Coz ni wale wakaka wanachomekea wapo smart Ana kipara afu yuko na ndevu😂😂 aseeeee ila hizi hela😀
~TRUST ME mazingira yanabadili watu. Coz ile ndo kama familia yangu nipo nayo everday nikajikuta wamenifunza kubeti bhana. Wakawa wananipa code zao naweka hela. sometime nawapa hela wanibetie😂🙌🙌
Nilianza kwa kuweka 5k nikashinda 78k✅
Iliyofuta nikaweka 10k nikashinda 127k✅
Siku moja nikaamua kuuliza kila Option na maana yake. Niliporudi nyumbn nikajaribu kutengeneza Code ya Odds 17 na nikaweka 3k ikatiki✅
Siku iliyofuata nikatengeneza nikaweka 10k nikashinda 70k✅ Ikawa ni jadi yangu kuweka code zangu mwenyewe kwa siri🫣🤣🤣
Kuna siku nilitengeneza Code ya Odds 15 nikamwambia rafiki yangu kuwa kuna hii Code jaribu kuweka kitu😂 nayo ikatiki✅ Ilipotiki akaniuliza code niliitoa wapi? Nikamdanganya Nimeitoa kwa Dogo😃
Siku moja nikaamua kumwambia ukweli kuwa Code natengeneza mwenyewe😂
Tangu hapo sasa nikabadili stake zangu ikawa naweka 70k target ni 1M nazo pia zikawa zinatiki✅.
Nikajikuta for 2weeks napata hela ambayo haihusiani na mambo yangu.
Baada ya mwaka mmoja kupita, Nikajisema kuwa siko Bora sana kwenye betting BUT naweza share nanyi kupata chochote.
~SO, siko vizuri kwenye kuandaa hizi code hivyo muwe mnapitia kufanya editing.
NOTE: Beti kistaarabu, stake pesa ambayo ikipotea haita athiri mfumo wako wa maisha.
{The stronger your discipline, the greater your chance of success. }
~But heshima yangu kwa aliyenifunza hili jambo ni kubwa sana, Be blessed My Brother🙏