Safari yangu ya kisiwa cha Mafia na fununu za rupia ya Kijerumani

Mzee wangu ukibaki na hiyo akili mgando kutoboa shida sana kwenye huu ulimwengu wa utandawazi...sijasema rupia inauzwa mamilioni ile ni strategy tu ya wazungu kuforce demand iwe juu ili zitafutwe kwa kasi Rupia inauzwa kama collective items na wanaopenda tunza vitu vya kale...bei yake inajulikana wazi EBAY na AMAZON kati ya dola 30-40 sasa imagine umeotea zipo kama mia hv una shilingi ngapi?? tREASURE HUNTS BADO ZIPO na wenzio wanapiga ela kila siku
 
Tatizo mkuu hawa vijana wanaamini sana drama na mambo mepesi tu mpaka nazeeka sijawahi ona mtu kafanikiwa kwa biashara ya rupia mara pasi ya mjerumani mara stove ya mjerumani zaidi tu ya watu kutapeliwa
ah ah ndo maana kuna kina jef bezos wa amazon na kina sisi...kwasababu tunapogopa kuimagine ah ah
 
Unadatunganya wenzio. Wewe unakula kuku wako sisi tunanunua rupia. Wakati wa kuuza mnunuzu haonekani!
 
Njoo sasa nikupe ninayo kama 12 jumlisha pasi ya mjerumani hahahah kijana una mambo unajiona wewe ndiyo mchakarikaji kuliko wenzio nimepitia yote hayo kazi halali haramu zote nimezifanya halafu uje unidanganye kiwepesi namna hiyo tulishaenda ukerewe huko mwaka mzima tunasaka hazina ya mjerumani tukaenda newala huko na kwenyewe wapi tukaenda ndanda hola tukaenda mangaka mpakani huko tukayapata sasa kuyauza ndiyo mziki hapo ni 1992 sasa wewe hebu nidanganye
 
ah ah ndo maana kuna kina jef bezos wa amazon na kina sisi...kwasababu tunapogopa kuimagine ah ah
Hiyo biashara waambie vijana wanaopenda kubet sawa siyo watu wanaoujua undani wa hiyo biashara au nikupe location
 
mimi ninazo kiroba... soko lipo wapi mkuu... hizo za 1 rupee na zenye simba wawili...
 
mimi ninazo kiroba... soko lipo wapi mkuu... hizo za 1 rupee na zenye simba wawili...
Mkuu unahangaika na hawa vijana wanaotegemea kubet ili watoboe nimemuuliza soko liko wapi anajiumauma tu haya mambo ukijichanganya unapigwa vizuri tu
 
Mkuu unahangaika na hawa vijana wanaotegemea kubet ili watoboe nimemuuliza soko liko wapi anajiumauma tu haya mambo ukijichanganya unapigwa vizuri tu
kazi kweli kweli... semeni soko lilipo mimi ntawapa theluthu ya kiroba mkuu... tugawane kama ni kweli... ila sitoi pesa kulipia huduma... pesa iusishwe mimi kulipwa na nikilipwa tugawane kwa hayo makubaliano... mkitaka kusepa na kiroba chote njooni mchukue pia...
 
Hakuna biashara ya rupia zaidi ya utapeli mkuu
 
mzee wabgu naona ulitumia nguvu sana ujana wako kusaka hizi majiaje sema information ilikua chache...ni hivi ngoja nijalibu kudeclare interest mimi sinunui wala siuzi rupia...ila ni mtalii wa ndani ninaye penda zunguka na kuangalia utajiri uliopo...Nshapanda mlima kilimanjaro sijui nimeenda saadan kilwa,serengeti,mikumi,na sasa mafia nnachokipost ni kile nlichokiona pamoja na kufanya reserch kidogo na kushare in mwengine iweze msaidia huko mbeleni...so pole kwa upambanani wa mda mrefu ambao haukukuletea mafanikio kama ulivyotegemea
 
Sasa JahaZ limejaa iweje ulazimishe kipanda
jahazi lipo moja kwa siku ukilikosa maana yake hadi ususbiri kesho yake na hapo nyamisati hamna guest au zipo za kiwango cha chiniso itabidi urudi dar.
 
mimi ninazo kiroba... soko lipo wapi mkuu... hizo za 1 rupee na zenye simba wawili...
google ndugu yangu mbona nmeshakupa way foward unataka tafuniwa kabisa
 
Kule kisiwani wanatumia umeme gani
 
WANATUMIA GENERETA LA TANESCO. MJI WA MAFIACNI MDOGO KULIKO ENEO LA KUANZIA MWENGE MPAKA BAMAGA MPAKA AFRIKA SANA NA URDIE MWENGE MPAKA BARABARA YA SAM NUJOMA. tena nadhani watu wa mwenge ni mara 2 ya walio mji huo? KUNA MAGOFU NA GUEST CHACHE NZURI NA MAJI YAKE NI YA CHUMVI. NIMEWAHI KWENDA KISIWA KINAITWA CHIBONDO KIPO MWENDO WA SAA MOJA NDANI YA BAHARI TOKA MAFIA UPANDE WA MASHARIKI. NI UVUVI TU HATA MAJI YA KUNYWA WANAYATOA MAFIA.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…