Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ah ah kiongozi unaujua mji wakoWANATUMIA GENERETA LA TANESCO. MJI WA MAFIACNI MDOGO KULIKO ENEO LA KUANZIA MWENGE MPAKA BAMAGA MPAKA AFRIKA SANA NA URDIE MWENGE MPAKA BARABARA YA SAM NUJOMA. tena nadhani watu wa mwenge ni mara 2 ya walio mji huo? KUNA MAGOFU NA GUEST CHACHE NZURI NA MAJI YAKE NI YA CHUMVI. NIMEWAHI KWENDA KISIWA KINAITWA CHIBONDO KIPO MWENDO WA SAA MOJA NDANI YA BAHARI TOKA MAFIA UPANDE WA MASHARIKI. NI UVUVI TU HATA MAJI YA KUNYWA WANAYATOA MAFIA.
Tafuta tabora coin(Rupia ya Gold ya mwaka 1916 yenye uzito wa 6.8 grams za Gold) nahisi hizo ndo zinazotafutwa kwenye mapango mengi hapa TZ kama vile hadithi nyingi zinatuambia.mimi ninazo kiroba... soko lipo wapi mkuu... hizo za 1 rupee na zenye simba wawili...
Nadhan mwisho wa mwezi ntarudi tena mafia...ila mda huu ntapanda coastal aviation nafhan...ntakachoona ntarejesha jamviniKuhusiana na kukusana noti na sarafu za zamani ni biashara ambayo ipo, na ndio inayomuweka yule shabiki wa stars bongozozo mjini, sema kibongo bongo imegubikwa na utapeli, hayo mambo ya wajerumani kuzifukia siyaamini sana
panda tropical au tumia meli sasa zinaenda meli za jeshi ila ile ya serikal nahis inaanza mwezi ujaoNadhan mwisho wa mwezi ntarudi tena mafia...ila mda huu ntapanda coastal aviation nafhan...ntakachoona ntarejesha jamvini
Sasa hivi ipo meli inafanya kazi kwa nauli ndogo tuu, na muda wa safari baharini ni masaa 3 tu.Nadhan mwisho wa mwezi ntarudi tena mafia...ila mda huu ntapanda coastal aviation nafhan...ntakachoona ntarejesha jamvini
Ni kweli kabisa, unapandia Nyamisati, soma hii habariKweli kiongozi..unaipandia wapi boss
safi sanaNi kweli kabisa, unapandia Nyamisati, soma hii habari
Wilaya ya Mafia yapaa kiuchumi na utalii -Rc Ndikilo
Mkuu wa Mkoa wa Pwani Mhandisi Evarist Ndikilo amesema kuwa Serikali ya Awamu ya Tano imebadilisha hali ya Kiuchumi na Kijamii katika Wilaya ya Mafia. akizungumza kwenye kikao maalumu cha Baraza la Madiwani Wilayani Mafia Juni 9 2020 cha kujadili Taarifa ya Mdhibiti na Mkaguzi Mkuu wa Hesabu za Seriwww.pwani.go.tz